Hata hapa Duniani ukiwa na madaraka na mali nyingi kiasi gani lakini ukiwa huna amani ndani ya Akili zako na moyo wako ni sawa sawa na jehanamu !
Kwahiyo jehanamu ipo kuanzia hapa hapa Duniani ! ๐ ๐
Magonjwa sugu yasiyotibika etc etc,
Jehanamu inaanziaga hapa hapa ni Duniani. ๐๐๐ณ
Wanabariki utekaji.
Wanabariki uuwaji.
Wanabariki wizi wa kura.
Wanabariki majina feki.
Wanaiba hela za umma.
Wanafitinisha jamii.
Wanadhulumu maskini.
Haya na mengine mengi wanasiasa hawataiona pepo.