Naandika kwa uchungu na kwa hisia thread hii nikiwanyooshea kidole viongozi wa kisiasa kuuwa ndoto na vipaji vya vijana wanao taka kuibuka ktk siasa.
Hii sio sawa na haikubaliki moja ya sifa ya kiongozi bora ni yule anajuwa anatakiwa kuandaa kundi vijana kwa ajili yalushika nafasi nyeti za kitaifa na sio haya yanayo endelea.
Tunauwa vipaji na tunazika talanta za viongozi bora kwa sababu za kisiasa na wivu na tamaa ya madaraka hii sio sawa mtaliangamiza taifa kwa uroo wenu wa madaraka kwa kuweka watu wasio hoji wala kuuliza watu wanafiki na walamba viatu je mtajisikiaje uko mbeleni?
Nasema hivi màana mambo yanatisha sana tuna andaa taifa ambalo tusipokuwa makini tutakuja jikuta tunafanya yale wazee wetu walifanya kwa wakoloni.
Kuuza dhahabu kwa bangili. This is very true leo una msikia kiongozi anatoa hoja unakaa chini unalia nakusema why God this happen on our country are we serius with this nation?
Do we know the cost of low brain in the system ? Mnafikiri mataifa makubwa wamefika mahali wamefika kwa kuwa na low iq ktk idara za serikali?
Basi futeni vipaji maalumu futeni elimu ili muone mwisho wa yote nini. Vijana chipukizi wapewe kinga kwa ustawi wa taifa hili nasema vijana wapeni kinga kwa ustawi wa taifa hili au subirini kuona taifa hili likirudi mikononi mwa mabepari mchana kweupe. Tusifanye mchezo na uwekezaji ktk vijana kama kweli tuna taka kutoka tulipofika na kwenda mbali zaidi.
Acheni kukea watu wa ndio mzee wekeni watu wanao hoji kwa ustawi wa taifa letu.
Bunge sio eneo lakuziba midomo is an area of excellence pasipo mtu kubugudhiwa bunge sio raba stamp ya serikali kuu bunge ni chombo cha wana nchi kwa majadiliano yakitaifa.