Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
- Thread starter
-
- #21
Yeye mwenyewe si umemuona anahutubia katikati ya barabara hapo? Kwa ivo unadhani muda anaohutubia hapo kule anakoelekea magari yatakuwa yanaruhusiwa kuelekea alipo? Tatizo jingine ni uchache wa barabara kwenye miji yetu.Hoja ya Makam Rais inamashiko hoja ni kuiborsha tu
Sawa nimekuelewa mkuu, hii tabia pia ya awa viongozi kuhutubia katikati ya barabara , wanatakiwa inatakiwa kukoma, naungana na hoja yako mkuuYeye mwenyewe si umemuona anahutubia katikati ya barabara hapo? Kwa ivo unadhani muda anaohutubia hapo kule anakoelekea magari yatakuwa yanaruhusiwa kuelekea alipo? Tatizo jingine ni uchache wa barabara kwenye miji yetu.
Msiwalaumu Polisi katika hili!!
Ninachojaribu kuonesha ingawa si moja kwa moja, ni kwamba sehemu kubwa ya misafara kuchukua muda mrefu ni viongozi wa kisiasa na aina ya miundo mbinu tuliyonayo. Barabara zetu zingekuwa zina upana zaidi ya mita 3.25 labda ingekuwa rahisi kuongoza hiyo misafara.Sawa nimekuelewa mkuu, hii tabia pia ya awa viongozi kuhutubia katikati ya barabara , wanatakiwa inatakiwa kukoma, naungana na hoja yako mkuu
Mkuu chukulia kwamba wana usalama si tu UWT bali the combined action ya Polisi, UWT-PSU, plainclothes sucurity personnel na wengine wengi tu.Hiyo Idadi ya Magari ya Mwalimu ni ya Mwaka Gani? Halafu wakati Mandela anakuja Tanzania Mwalimu hakuwa Rais wa nchi hii.
Halafu kusema watu wa Usalama wana Overrate hatari zilizopo ni kutokuwatendea haki. Misafara inaongozwa na Polisi na siyo watu wa Usalama.
Wengi wenu hamjui tu, kuongoza hiyo misafara ni polisi ndiyo wanaoteseka na kama wangekuwa na uwezo bila ya shaka, wangetaka hiyo misafara isitumie hata dakika tatu iwe imepita. Ukichunguza ni polisi ndiyo wanaoshinda mabarabarani kusubiri hiyo misafara ipite. Unadhani na wao wanapenda kukaa masaa kwa masaa kusubiri msafara upite?? Yaani Polisi wanafaidika na nini kuzuia watu kwa muda wote huo?
Kwenye hii picha Makamu wa Rais kasimamisha msafara wake kati kati ya barabara anahutubia. Kwa mazingira kama hayo Polisi wanaweza kuruhusu magari yaelekee alipo Makamu wa Rais??
Mkuu napinga moja kwa moja usemi wako.Ninachojaribu kuonesha ingawa si moja kwa moja, ni kwamba sehemu kubwa ya misafara kuchukua muda mrefu ni viongozi wa kisiasa na aina ya miundo mbinu tuliyonayo. Barabara zetu zingekuwa zina upana zaidi ya mita 3.25 labda ingekuwa rahisi kuongoza hiyo misafara.
Ila kiongozi anatoka Dodoma kwenda Morogoro njiani anasimama zaidi ya mara tatu na kuhutubia. huku watu wanazuiliwa, matokeo yake watu wanadhani Polisi wanajipendekeza kumbe kiongozi ndiye anayesababisha na wapanga ratiba wa mikutano yake hawako makini.
Sasa malumbano yanakua mengi , hojaMkuu chukulia kwamba wana usalama si tu UWT bali the combined action ya Polisi, UWT-PSU, plainclothes sucurity personnel na wengine wengi tu.
Katika hiyo picha wako wengi sana, wengine si ajabu wamevaa nguo za kijani!
Makamu wa Rais haendeshi gari yeye mwenyewe, anapangiwa nini na wapi pa kusimama.
Hawa wenzetu wa usalama in totality hawana awareness kabisa kuwa kuwa kutofikiria wananchi wanavyokerwa na haphazard arrangements za jinsi viongozi wanavyoteka maeneo ili kufanya siasa, matokeo yake ndio hayo unayoyaona.