Viongozi wa makanisa ya kipentecoste hamishieni vyuo vya Biblia porini vijijini hivi vya mijini wakimaliza hawarudi vijijini kufanya kazi ya Mungu

YEHODAYA

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2015
Posts
36,902
Reaction score
52,001
Viongozi wa makanisa ya kipentecoste hamishieni vyuo vya Biblia porini vijijini hivi vya mijini wakimaliza hawarudi vijijini kwao kufanya kazi ya Mungu wanabaki mijini

Pia wapeni masharti wanafunzi wapya kuwa hawatapewa uchungaji hadi wafungue matawi vijijini wachunge si chini ya miaka mitatu ndipo wapewe uchungaji

Sasa hivi kuna upungufu vijijini wakati mijini kuna excess
 
[emoji23][emoji23][emoji23],ngoja waje wenyewe baadae .muda huu wapo ibadani.
 
kijijini watu wanatoa sadaka sh. 100 nani wa kufungua kanisa huko?

Acha wewe mjini raha sana
 
Nimejaribu kumfuatilia mwakasege walao miaka 12 na kuzidi sijawahi ona akielekeza mikutano yake Maeneo tofauti na mjini.

Nimemuongelea huyo mwalimu samahani Kama itakwaza lakini walao tunaweza kuona uafadhali wake kuliko watumishi wengine.

Lakini Kama ilivyo mitazamo ya wengi hakuna Shaka wanatizamia Sana sadaka kuliko huduma watoayo!
 
Wachunge kondoo miaka mitatu kabla ya kupewa uchungaji, sasa wakiwa kama nani?
 
Vijijini sadaka ni kama hakuna, mwendo wa mia mia tu.
 
Viongozi wa makanisa ya kipentecoste hamishieni vyuo vya Biblia porini vijijini hivi vya mijini wakimaliza hawarudi vijijini kwao kufanya kazi ya Mungu wanabaki mijini

Pia wapeni masharti wanafunzi wapya kuwa hawatapewa uchungaji hadi wafungue matawi vijijini wachunge si chini ya miaka mitatu ndipo wapewe uchungaji

Sasa hivi kuna upungufu vijijini wakati mijini kuna excess
Porini! Kuna vishawishi vya shalati.
 
Nimejaribu kumfuatilia mwakasege walao miaka 12 na kuzidi sijawahi ona akielekeza mikutano yake Maeneo tofauti na mjini.

Nimemuongelea huyo mwalimu samahani Kama itakwaza lakini walao tunaweza kuona uafadhali wake kuliko watumishi wengine.

Lakini Kama ilivyo mitazamo ya wengi hakuna Shaka wanatizamia Sana sadaka kuliko huduma watoayo!
NA yeye huwa anazunguka miji maarufu tu mafundisho yake ni from i town to town miji yenye majina tu
 
Nimejaribu kumfuatilia mwakasege walao miaka 12 na kuzidi sijawahi ona akielekeza mikutano yake Maeneo tofauti na mjini.

Nimemuongelea huyo mwalimu samahani Kama itakwaza lakini walao tunaweza kuona uafadhali wake kuliko watumishi wengine.

Lakini Kama ilivyo mitazamo ya wengi hakuna Shaka wanatizamia Sana sadaka kuliko huduma watoayo!
Mwakasege anazungukia Moshi, Dar, Arusha, Mbeya na Dodoma, sijawahi msikia yuko Musoma au Kigoma au Ruvuma.

Pesa
 
Back
Top Bottom