AbuuMaryam
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,577
- 4,637
Yaani najiuliza na nauliza hivi Rais, Waziri Mkuu, Nape Nnauye, Msigwa Gerson huwa wanaangalia habari na mambo mengine TBC 1 kweli? Au na wao habari wanaangalia kupitia UTV ya Azam?
Na mpira pia, hivi Mchengerwa na Nape Nnauye wanaangalia Kombe la Dunia kupitia hii TBC 1 pia? And they are satisfied with this quality? Au na wao wanaangalia kupitia DStv au supersport?
Hopefully na wao wanakereka na hii quality ya matangazo ya mpira.
Yaani its like they chose 144p quality while others chose 720p au 1080p?
Je, na wao wanaona kama sisi, na wameridhika kabisa?