Viongozi wa SADC wasalimu amri wa Kagame! Wakubali kuondoa vikosi vyao CONGO DRC. Huu ni ushindi kwa Kagame na hatari kwa mataifa yanayomzunguka

Viongozi wa SADC wasalimu amri wa Kagame! Wakubali kuondoa vikosi vyao CONGO DRC. Huu ni ushindi kwa Kagame na hatari kwa mataifa yanayomzunguka

Kama kuna watu wanajiona sio watanzania huu ndio muda wa kwenda wa kuchagua nchi wanayotaka.

Kama kwenda kuipigania East Congo, Rwanda, Burundi na kadhalika,

Mimi siafikl serikali ya Tanzania kujiingiza katika hiyo, migogoro; Iła kama upande wako sio Tanzania akutakuwa na mwamwana kwenye usaliti wa Tanzania.
We unawaza hayo wakati TISS wenzako wanawaza kuiba uchsguzi wa vijiji na mitaa ili CCM washinde.

JW ndo kabisa saivi kazi yao kuambiwa na ma DC na RC wakafanye mazoezi na usafi ili kuwatisha wananchi wasio na hatia kudai haki zao.
 
Weakness zinaanzia ndani. Adui akishaziona anajichagulia tu apige lini na wapi?
Ukiona watu wanaenda kufanya mazoezi biharamuro ile sio kwamba wana muda wa kuchezea ni kuelewa vita ya terrain za Rwanda.

Mimi siaminj Kabila la Tanzania lenye lugha na upande mwingine sio watanzania.

Huko kwenye xenophobia unipeleki.
 
Mpaka saivi wamesha set precedent mbaya sana. Mwanachama mwenzao kavamiwa alafu wao wanaondoa majeshi badala ya kumsaidia.

Hii precedent itawatesa sana maana muda unakuja nchi nyingine itaenda kufanyiwa kama alivyofanyiwa Congo na hakuna atakayeisaidia.

Usione kwa nini EU waliamua kusimama na Ukraine baada ya US kujitoa. Walijua wakimtenga Ukraine itatengeneza kitu kibaya sana ambacho kitakuja kumtokea mwingine siku nyingine na hatosaidiwa.
 
Pamoja na yote hayo mipaka ya Tanzania sio ya kuchezewa.
Hili nimelijua hivi karibuni aisee Nchi hii hatari sana ila hii tabia ya kufinya kimnya kimnya ndio maana wanaonekana wapo wapo tu

Nb, kuna mzee muuza machungwa hapa kanipenyezea kuwa SADC kuondoa majeshi huko ni mtego tu ili watu warudi kivingine sijajua kamaanisha
 
Mpaka saivi wamesha set precedent mbaya sana. Mwanachama mwenzao kavamiwa alafu wao wanaondoa majeahi badala ya kumsaidia.

Hii precedent itawatesa sana maana muda unakuja nchi nyingine itaenda kufanyiwa kama alivyofanyiwa Congo na hakuna atakayeisaidia.

Usieone kwa nini EU waliamua kusimama na Ukraine baada ya US kujitoa. Walijuq wakimtenga Ukraine itatengeneza kitu kibaya sana ambacho kitakuja kumtokea mwingine siku nyingine na hatosaidiwa.
DRC,EAC,SADC,AU,UN zote zimeshindwa kuleta amani kongo, kunani?
 
Haya sasa!

SADC wamesalimu amri kwa M23/ Rwanda. Wakuu wa nchi wameamua Vikosi vilivyopo Congo viondoke.

Sote tunakumbuka, hili lilikuwa takwa na agizo la M23 na Kagame kuwa vikosi vyote vya kigeni viondoke Mashariki mwa Congo DRC.

Nadhani kwa haya yaliyotokea, sote sasa tunajua mbabe wa Afrika ni Kagame/ Rwanda!

Msiniulize tena kwa nini nitailani milele CCM kwa kutufikisha hapa.
Yote hii inatokana na serikali dhaifu ya wala rushwa kinshada. Tshisekedi ameharibu jeshi kwa kuweka waluba wasiokua na weledi kwenye kuongoza jeshi na vyombo vya usalama. Wamempa Kagame fursa kuendelea kueneza umbari ya kitutsi/kihima kushika uongozi kibabe ili kujinufaisha binafsi wakijidai ni wazalendo wa nchi ya congo.
 
DRC,EAC,SADC,AU,UN zote zimeshindwa kuleta amani kongo, kunani?
Muondoe UN maana huyo anajulikana haleti amani popote.

Hizi regional blocks ndo zina shida na hawa SADC hawajui tu kwa namna gani wametengeneza precedent mbaya ambayo itakuja kuwala mmoja mmoja siku si nyingi sana.

Shida hii imetokana na hizi nchi kutokuwa na Viongozi imara wanaojitambua vizuri hawajui. Hawajui tu precedent waliyotengeneza leo kwa Congo kesho ita apply kwa Tanzania akitengenezewa vikundi na nchi nyingine ili kuwa destabilized.

Hawajifunzi kwa Wenzao EU kwenye issue ya Ukraine na Urusi. EU wamesimama na Ukraine na wanampa support pamoja na Marekani kujitoa.
 
Hili nimelijua hivi karibuni aisee Nchi hii hatari sana ila hii tabia ya kufinya kimnya kimnya ndio maana wanaonekana wapo wapo tu

Nb, kuna mzee muuza machungwa hapa kanipenyezea kuwa SADC kuondoa majeshi huko ni mtego tu ili watu warudi kivingine sijajua kamaanisha
Huko kwenye mipaka ya Rwanda na Burundl kuna cousins kabisa wa upande wa pili.

Siku uhamiaji wakienda, majirani ndio wanaochongea fulanl kaweka jamaa zake wa upande wa pili kulima shamba lake. Wafugaji wa Tanzania na upande wa pili kila mara wanapambana huko misituni watu ambao lugha yao moja; wafugaji wa Tanzania ndio wanaita wenzao border Police army wakizidiwa.

Huko mipakani watu wako makini kila uchao; sasa unakuta mtu yuko Dar anasikiliza mzozo wa East Congo na kutaka kuchukia watu wote wenye asili ya eneo husika.

Tanzania ina raia wanaongea kinyarwanda na hawajawai ata kufika Rwanda na loyalty yao ni Tanzania (not even questionable, I feel even stupid kuandika huo ujinga).

Ni hivi Tanzania ipo salama; kwangu Saumu kali; nitarudi baada ya iftar.
 
Hiyo ni hatua njema ya kumaliza mgogoro Congo Mashariki! Vita siyo solution!
Huu siyo ushindi wa Kagame bali ni ushindi wa wapenda Amani duniani.
 
Back
Top Bottom