Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
- Thread starter
-
- #21
We unawaza hayo wakati TISS wenzako wanawaza kuiba uchsguzi wa vijiji na mitaa ili CCM washinde.Kama kuna watu wanajiona sio watanzania huu ndio muda wa kwenda wa kuchagua nchi wanayotaka.
Kama kwenda kuipigania East Congo, Rwanda, Burundi na kadhalika,
Mimi siafikl serikali ya Tanzania kujiingiza katika hiyo, migogoro; Iła kama upande wako sio Tanzania akutakuwa na mwamwana kwenye usaliti wa Tanzania.
Pamoja na yote hayo mipaka ya Tanzania sio ya kuchezewa.We unawaza hayo wakati TISS wenzako wanawaza kuiba uchsguzi wa vijiji na mitaa ili CCM washinde.
JW ndo kabisa saivi kazi yao kuambiwa na ma DC na RC wakafanye mazoezi na usafi ili kuwatisha wananchi wasio na hatia kudai haki zao.
Weakness zinaanzia ndani. Adui akishaziona anajichagulia tu apige lini na wapi?Pamoja na yote hayo mipaka ya Tanzania sio ya kuchezewa.
Ukiona watu wanaenda kufanya mazoezi biharamuro ile sio kwamba wana muda wa kuchezea ni kuelewa vita ya terrain za Rwanda.Weakness zinaanzia ndani. Adui akishaziona anajichagulia tu apige lini na wapi?
You cannot repeat that againUjinga wafanye huko-huko Tanzania ni nchi isiyo na udini, ukabila wala ubaguzi wa rangi. Lakini usaliti kwa Tanzania atutovumilia.
Mpaka saivi wamesha set precedent mbaya sana. Mwanachama mwenzao kavamiwa alafu wao wanaondoa majeshi badala ya kumsaidia.Ukiona watu wanaenda kufanya mazoezi biharamuro ile sio kwamba wana muda wa kuchezea ni kuelewa vita ya terrain za Rwanda.
Mimi siaminj Kabila la Tanzania lenye lugha na upande mwingine sio watanzania.
Huko kwenye xenophobia unipeleki.
Hili nimelijua hivi karibuni aisee Nchi hii hatari sana ila hii tabia ya kufinya kimnya kimnya ndio maana wanaonekana wapo wapo tuPamoja na yote hayo mipaka ya Tanzania sio ya kuchezewa.
DRC,EAC,SADC,AU,UN zote zimeshindwa kuleta amani kongo, kunani?Mpaka saivi wamesha set precedent mbaya sana. Mwanachama mwenzao kavamiwa alafu wao wanaondoa majeahi badala ya kumsaidia.
Hii precedent itawatesa sana maana muda unakuja nchi nyingine itaenda kufanyiwa kama alivyofanyiwa Congo na hakuna atakayeisaidia.
Usieone kwa nini EU waliamua kusimama na Ukraine baada ya US kujitoa. Walijuq wakimtenga Ukraine itatengeneza kitu kibaya sana ambacho kitakuja kumtokea mwingine siku nyingine na hatosaidiwa.
Yote hii inatokana na serikali dhaifu ya wala rushwa kinshada. Tshisekedi ameharibu jeshi kwa kuweka waluba wasiokua na weledi kwenye kuongoza jeshi na vyombo vya usalama. Wamempa Kagame fursa kuendelea kueneza umbari ya kitutsi/kihima kushika uongozi kibabe ili kujinufaisha binafsi wakijidai ni wazalendo wa nchi ya congo.Haya sasa!
SADC wamesalimu amri kwa M23/ Rwanda. Wakuu wa nchi wameamua Vikosi vilivyopo Congo viondoke.
Sote tunakumbuka, hili lilikuwa takwa na agizo la M23 na Kagame kuwa vikosi vyote vya kigeni viondoke Mashariki mwa Congo DRC.
Nadhani kwa haya yaliyotokea, sote sasa tunajua mbabe wa Afrika ni Kagame/ Rwanda!
Msiniulize tena kwa nini nitailani milele CCM kwa kutufikisha hapa.
Muondoe UN maana huyo anajulikana haleti amani popote.DRC,EAC,SADC,AU,UN zote zimeshindwa kuleta amani kongo, kunani?
Huko kwenye mipaka ya Rwanda na Burundl kuna cousins kabisa wa upande wa pili.Hili nimelijua hivi karibuni aisee Nchi hii hatari sana ila hii tabia ya kufinya kimnya kimnya ndio maana wanaonekana wapo wapo tu
Nb, kuna mzee muuza machungwa hapa kanipenyezea kuwa SADC kuondoa majeshi huko ni mtego tu ili watu warudi kivingine sijajua kamaanisha
Mtu mrefu aliwambia hawatatoboaSADC wamesalimu amri kwa M23/ Rwanda. Wakuu wa nchi wameamua Vikosi vilivyopo Congo viondoke.
Hence Mission completed😅😅Nafikiri DRC alishakubaliana na USA, US atachukua usukani wa ulinzi kwa malipo ya madini! 😄
Vyovyote vile! SADC kujitoa imeweka precedent mbaya sana.Nafikiri DRC alishakubaliana na USA, US atachukua usukani wa ulinzi kwa malipo ya madini! 😄
Kimasikhara tu jamaa anajipa hiki cheo ukanda huu. Na kwa hili lililofanyika jamaa atatunyanyasa sana kuanzia sasa.Rwanda ni superpower ktk ukanda huu wa afrika mashariki , kusini na kati