Viongozi wa SADC wasalimu amri wa Kagame! Wakubali kuondoa vikosi vyao CONGO DRC. Huu ni ushindi kwa Kagame na hatari kwa mataifa yanayomzunguka

Nyie endeleeni tu kuimba mapambio ya CCM mitano tena na kujenga Bar kwenye kambi za Jeshi.

Badala ya ku invest kwenye majeshi yenu na intelligence mnawekeza kwenye machawa.

Na bado. Alivyo mshenzi yule Mr. Slim atawapumulia hadi visogoni.
Anatafuta mlango wa bahari kule west, akishaupata haihitaji dsm port tena. Hapo ndipo ataanza mapambano ya kuja east. Ngara, Karagwe jiandaeni
 
sahihi kabisa. Anasimika njia rasmi kuingia kwake kutokea Mombasa. Akikamilisha tu hataki tenda Bandari za DSM na TANGA then ndipo atakuja rasmi Kagera na Geita.
 
Siyo Mombasa, ni kule west kwenye mlango wa bahari ya Atlantic
 
Tanzania huku tuna Television ya Taifa ila huwezi sikia mijadala ya maana namna hii! Tuna waandishi @ Pascal Mayalla sijui kina Balile na Sammy Awami ila huwezi kuwasikia wakifanya mijadala ya maana kama hii.

Kuna tatizo la information na information ni power, kila kitu Tanzania kinafanyika sirini kama ni 'uchawi' vile, bila taarifa raia wanabakia kukosa uelewa wa masuala ya kikanda ambayo yana mguso mkubwa iwe kwa madereva wa malori yanayovuka mipaka, wafanyabishara wanaovuka mipaka n.k mbali na ulinzi pia.
 
Imekuwa ghafla mno. Trump amewafikia nini? Au ndo madini yote sasa tayari yanaenda USA.
 
Traore alimwambia rais wakongo kuwa naomb nilipe mm nikuuzie siraha nzito tuone kama hao m23 watabaki au lete askari wako niwape mafunzo akakataa kitendo cha kumpa dhamana mmarekani ndicho kimetengenezwa anaigia mkataba na wewe anapotumia siraa zake atachukua rasilimali za madini kiasi gani afrika tuamke Ubeligiji anashindwa kulipa fadhira yeye ndy alitajirika na raslimali za congo lkn atuone akitoa support umoja wa afrika hiz ndo agenda za kuimarisha tunataka amani ufashiri wenye riba ndogo na umoja
Amewashindwa waasi wa kwao Sahwl ndio atawaweza hao M23? Upuuzi
 
Wamesema muda wa majukumu ya vikosi vyake huko DRC umemalizika. Bora wamuachie Kagame aimege nchi ya congo au aitwae kabisa. Tseshekedi apambane na hali yake mwenyewe
 
Ni Rais sana kuwashinda viongozi na majeshi yaliyo kaa kisiasa yanayo waza pesa na sio uzalendo AIBU mr slim round hii kaipiga TZ kofi la mat*ko
 
Kagame aimege nchi ya congo au aitwae kabisa. Tseshekedi apambane na hali yake mwenyewe
Kagame hana claim kwenye ardhi hiyo labda kama Mwami wa Rwanda angerejea kwenye throne Rwanda ndiye angeweza kudai ardhi ya iliyokuwa Kingdom of Rwanda kabda ya kunyang'anywa na Wakoloni wa kutoka Ulaya.
 
Anatafuta mlango wa bahari kule west, akishaupata haihitaji dsm port tena. Hapo ndipo ataanza mapambano ya kuja east. Ngara, Karagwe jiandaeni
tuko imara asijaribu kutamani kipande chochote cha Tanzania tutamnyuka mpaka Kigali. Hata asaidiwe na nchi gani tutamnyuka. Hatujaribiwi, tungeweza kumnyuka kupitia vikosi vya SADC/EAC ila kuna wanafiki kama Uganda wamo ndani. Sasa tumeondoka kwenye kikosi cha kimataifa tunarudi nyumbani kulinda mipaka yetu hatutaki uchokozi. Tumeusoma mchezo wake asijaribu kutaka kupanua nchi yake upande wa Tanzania tutaimeza rwanda yote
 
Tshesekedi karithi huu ujinga uliotengenezwa na Nyerere kupitia vijana wake M7 na Kagame nia ikiwa kumtoa Mobutu,leo M7 na Kagame wamenogewa na madini wamegoma kuondoka...kwa hiyo Tanzania wanapigana na kinyago walichokichonga wenyewe

..Ni makosa yaliyofanyika tangu ule uasi wa kwanza dhidi ya Laurent Kabila.

..SADC wangekuwa wamoja kipindi kile tusingeshuhudia haya tunayoyaona leo.
 
tuko imara asijaribu kutamani kipande chochote cha Tanzania tutamnyuka mpaka Kigali. Hata asaidiwe na nchi gani tutamnyuka. Hatujaribiwi, tungeweza kumnyuka kupitia vikosi vya SADC/EAC ila kuna wanafiki kama Uganda wamo ndani. Sasa tumeondoka kwenye kikosi cha kimataifa tunarudi nyumbani kulinda mipaka yetu hatutaki uchokozi. Tumeusoma mchezo wake asijaribu kutaka kupanua nchi yake upande wa Tanzania tutaimeza rwanda yote
Ungejua!! Ukiweza nitafute inbox
 
Kwanza majeshi ya SADC yameruhusu vipi Loophole ya Trump kuja?
Mkuu Trump akitaka kwenda sehem hahitaji mualiko lobito korido imeanza kujengwa kabla hata huyo Tshekedi hajamualika. SADC wangefanya nini? Na kwa nini baadhi ya nchi za SADC hawapo huko congo?
 
Kwani EU walivyosimama na Ukraine inamaanisha Ukraine walishindwa kupigania nchi yao?

Labda uniambie, kwa namna mifumi yetu ilivyo compromised sasa hivi kipi kinamzuia Kagame au Rwanda kufanya kwetu kama walivyofanya Congo hata in the next 20 years?
Mkuu EU unafatilia habari? Baada ya EU kuingilia kimetokea nini? Ulitaka TZ ifanye nini? EAC na AU walipendekeza kukaa mezani kwa nini hawakusimamia hapo?
 
Back
Top Bottom