Viongozi wa SADC wasalimu amri wa Kagame! Wakubali kuondoa vikosi vyao CONGO DRC. Huu ni ushindi kwa Kagame na hatari kwa mataifa yanayomzunguka

Haya sasa!

SADC wamesalimu amri kwa M23/ Rwanda. Wakuu wa nchi wameamua Vikosi vilivyopo Congo viondoke.

Sote tunakumbuka, hili lilikuwa takwa na agizo la M23 na Kagame kuwa vikosi vyote vya kigeni viondoke Mashariki mwa Congo DRC.

Nadhani kwa haya yaliyotokea, sote sasa tunajua mbabe wa Afrika ni Kagame/ Rwanda!

Msiniulize tena kwa nini nitailani milele CCM kwa kutufikisha hapa.

View attachment 3269444View attachment 3269445View attachment 3269445
Trump anachukua nafasi mkuu
 
Hakuna manufaa yeyote kwa SADC kuwepo eastern congo. Ni kujiongezea gharama zisizo na msingi. Kagame hajapata ushindi wowote maana mapigano yanaendelea. Suluhu ya matatizo haya ni kuongea kati ya serikali ya congo na kundi la M23 . Nimefurahi kusikia Tshisekedi amekubali kukutana na M23 katika mazungumzo yaliyoitishwa na Angola.

Msipende kushabikia vita athari ni kubwa kuliko faida .
Vita sio lelemama !
Vita havina macho !
Vita vinaleta umasikini !
Bado tunavikumbuka vita vya kumtandika Iddi Amin Dada !
 
Uchaguzi ndo nini? Kama mna mifumo mizuri ya kidemokrasia mnahofia nini?

Kwa Taifa lenye akili na maarifa uchaguzi unazuia shughuli za masingi kufanyika?
Kama mna mfumo au tuna mfumo,. Upande wako ni upi?
 
Haya sasa!

SADC wamesalimu amri kwa M23/ Rwanda. Wakuu wa nchi wameamua Vikosi vilivyopo Congo viondoke.

Sote tunakumbuka, hili lilikuwa takwa na agizo la M23 na Kagame kuwa vikosi vyote vya kigeni viondoke Mashariki mwa Congo DRC.

Nadhani kwa haya yaliyotokea, sote sasa tunajua mbabe wa Afrika ni Kagame/ Rwanda!

Msiniulize tena kwa nini nitailani milele CCM kwa kutufikisha hapa.

View attachment 3269444View attachment 3269445View attachment 3269445
Nafikiri wewe bado mtoto wa maswala haya.
Ile mission ya Kongo ilikuwa Peace Mission, na haikuwa combat mission.
Sasa kama hakuna peace ya kuweka , na unakuta shari tu, basi hiyo Peace Mission haina maana.
Na huko siyo kushindwa bali kuepusha shari.
Kwa Kagame ajue moja, kama Kongo itaomba kuwepo Combat Mission kuwakabili M23. basi Kagames days are numbered.
 
Haya sasa!

SADC wamesalimu amri kwa M23/ Rwanda. Wakuu wa nchi wameamua Vikosi vilivyopo Congo viondoke.

Sote tunakumbuka, hili lilikuwa takwa na agizo la M23 na Kagame kuwa vikosi vyote vya kigeni viondoke Mashariki mwa Congo DRC.

Nadhani kwa haya yaliyotokea, sote sasa tunajua mbabe wa Afrika ni Kagame/ Rwanda!

Msiniulize tena kwa nini nitailani milele CCM kwa kutufikisha hapa.

View attachment 3269444View attachment 3269445View attachment 3269445
Acha mbwembwe bro, hapo ni USA, hataki majeshi ya kulinda Amani, hapo Congo, USA ameingia mkataba na Congo wa kuchimba madini, hataki SADC wawepo, Rejea bifu la Trump, USA na Ramaphosa, south afrika, wa, south kupitia SADC wali kuwa wanaiba madini tu, kama anavyofsnya kagame, sasa hv madini yatachukuliwa na mzungu, America! Kagame atatoa wanajeshi kulinda wafanyakazi, wa, makampuni ya wazungu wakati wanachimba madini, anafsnya Hi you msumbiji,
Kagsme ni Attach Dog, blue eyed boy wa western, atatumiwa, wakimchoka, kaisha
 
Kama wenye nchi wenyewe hawawezi kuipigania nchi yao kwanini wengine waipiganie? Unafikiri Kagame anaweza kuvamia inchi moja ya ardhi yetu na tukafanya vikao vya SADC?
 
Mtamsingizia sana USA. Badilikeni, huu ni ujumbe tu mnatumiwa kuwa badilikeni maana yajayo yanafurahisha.
 
Kama wenye nchi wenyewe hawawezi kuipigania nchi yao kwanini wengine waipiganie? Unafikiri Kagame anaweza kuvamia inchi moja ya ardhi yetu na tukafanya vikao vya SADC?
Kwani EU walivyosimama na Ukraine inamaanisha Ukraine walishindwa kupigania nchi yao?

Labda uniambie, kwa namna mifumi yetu ilivyo compromised sasa hivi kipi kinamzuia Kagame au Rwanda kufanya kwetu kama walivyofanya Congo hata in the next 20 years?
 
Nalipenda jeshi langu la Rwanda .Jeshi langu la Rwanda limeweza kuwashinda majeshi yote ya SADC na EAC Kwa pamoja na kuwasambaratisha kama chapati.Na Kwa Sasa kazi umeisha maana FARDC tutaluchakaza Kwa siku mbili tu Hadi kishasa na kuanza kunywa chai Ikulu ya wacongoman.Asante sana rais wangu kagame Kwa kuwachakaza Hawa mercenaries wote
 
Back
Top Bottom