Hivi kuna sehemu yao kule?Kagame hana claim kwenye ardhi hiyo labda kama Mwami wa Rwanda angerejea kwenye throne Rwanda ndiye angeweza kudai ardhi ya iliyokuwa Kingdom of Rwanda kabda ya kunyang'anywa na Wakoloni wa kutoka Ulaya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi kuna sehemu yao kule?Kagame hana claim kwenye ardhi hiyo labda kama Mwami wa Rwanda angerejea kwenye throne Rwanda ndiye angeweza kudai ardhi ya iliyokuwa Kingdom of Rwanda kabda ya kunyang'anywa na Wakoloni wa kutoka Ulaya.
Kivu ni himaya ya Ufalme wa Rwanda.Hivi kuna sehemu yao kule?
Ok... wale wabembe , wamushi wafulelo kwao wapi . Na theory ya mulenge as a refugee camp by 1959, and also the Belgian sending some people kule kuwa viongozi wa mashamba 1935 North Kivu. Na sehemu ya kaskazini mwa Urundi kuwa kongo ni famba.Kivu ni himaya ya Ufalme wa Rwanda.
Haya sasa!
SADC wamesalimu amri kwa M23/ Rwanda. Wakuu wa nchi wameamua Vikosi vilivyopo Congo viondoke.
Sote tunakumbuka, hili lilikuwa takwa na agizo la M23 na Kagame kuwa vikosi vyote vya kigeni viondoke Mashariki mwa Congo DRC.
Nadhani kwa haya yaliyotokea, sote sasa tunajua mbabe wa Afrika ni Kagame/ Rwanda!
Msiniulize tena kwa nini nitailani milele CCM kwa kutufikisha hapa.
View attachment 3269444View attachment 3269445View attachment 3269445
===
Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) imeamua kumaliza rasmi operesheni yake ya kijeshi katika eneo la mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) kufuatia hasara kubwa zilizopatikana, ikiwemo vifo vya zaidi ya wanajeshi kumi na wanne mnamo Januari.
Uamuzi huu ulifikiwa katika mkutano wa kilele wa mtandaoni siku ya Alhamisi, ukihitimisha operesheni ambayo ililenga kurejesha amani na usalama katika eneo hilo ambalo limekuwa likikumbwa na migogoro kwa takriban miongo mitatu.
Taarifa ya mkutano huo wa Machi 13, 2025, ilithibitisha kuwa mamlaka ya SADC Mission in the DRC (SAMIDRC) yamekamilika, na kwamba kuondolewa kwa vikosi kutafanyika kwa awamu.
SAMIDRC, ambayo ilihusisha wanajeshi kutoka Malawi, Tanzania, na Afrika Kusini, ilitumwa DRC mnamo Desemba 2023 kusaidia serikali ya nchi hiyo kupambana na ghasia zinazoendelea.
Hata hivyo, operesheni hiyo ilikumbwa na hasara kubwa, hasa kwa Afrika Kusini, ambayo ilipoteza wanajeshi 14 mnamo Januari wakati wa mapigano. Aidha, wanajeshi watatu wa Malawi na wanajeshi wawili wa Tanzania pia waliuawa kwenye mapambano hayo.
Afrika Kusini, ambayo inadaiwa kuwa na idadi kubwa ya wanajeshi waliotumwa DRC, imekuwa ikishinikizwa kuondoa vikosi vyake, hasa baada ya ripoti kuonyesha kuwa baadhi ya wanajeshi wake wamezuiliwa kambini na wapiganaji wa M23.
Tangazo la kuondolewa kwa vikosi vya kijeshi limetolewa siku moja tu baada ya Angola kuthibitisha kuwa mazungumzo ya amani kati ya DRC na kundi la waasi la M23 yataanza wiki ijayo jijini Luanda.
Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa amesema kuwa kuondolewa kwa vikosi kutafanyika kwa utaratibu, kulingana na hali ya usalama inavyoendelea katika eneo hilo.
Licha ya hali tete, alieleza matumaini kuwa juhudi za amani zinazoendelea na mazungumzo yanayotarajiwa kuanza zitasaidia kuimarisha utulivu katika eneo hilo.
SADC, kwa kushirikiana na Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), imekuwa ikitoa msukumo kwa suluhisho la kidiplomasia na kisiasa kuhusu mgogoro huo, huku ikihimiza jumuiya ya kimataifa kuchukua hatua dhidi ya janga kubwa la kibinadamu linaloendelea.
Hali inaendelea kuwa nyeti, huku kundi la waasi la M23, linalodaiwa kupata msaada kutoka Rwanda, likizidi kusonga mbele katika eneo lenye utajiri wa madini mashariki mwa DRC.
Rais wa Angola João Lourenço pia amekuwa mstari wa mbele katika juhudi za upatanishi, ambazo zimepata msukumo mpya baada ya kukutana na Rais wa DRC Félix Tshisekedi, ambaye hapo awali alikuwa akipinga mazungumzo ya moja kwa moja na M23.
Source: News Central
Kagame kawatimua SADC huko Drc kwenye shamba lake.Haya sasa!

Superpower kwa bajeti inayotegemea misaadaRwanda ni superpower ktk ukanda huu wa afrika mashariki , kusini na kati
Endeleeni kupelekeshwa na wanasiasa wakiskia Kuna maandamanotuko imara asijaribu kutamani kipande chochote cha Tanzania tutamnyuka mpaka Kigali. Hata asaidiwe na nchi gani tutamnyuka. Hatujaribiwi, tungeweza kumnyuka kupitia vikosi vya SADC/EAC ila kuna wanafiki kama Uganda wamo ndani. Sasa tumeondoka kwenye kikosi cha kimataifa tunarudi nyumbani kulinda mipaka yetu hatutaki uchokozi. Tumeusoma mchezo wake asijaribu kutaka kupanua nchi yake upande wa Tanzania tutaimeza rwanda yote
Jidanganye endelea kutumia jeshi letu kufanya usafi kisa maandamano ya chadema mtavuna mnachopanda JWZT kuingiza siasa ilikua kosa kubwa sanatuko imara asijaribu kutamani kipande chochote cha Tanzania tutamnyuka mpaka Kigali. Hata asaidiwe na nchi gani tutamnyuka. Hatujaribiwi, tungeweza kumnyuka kupitia vikosi vya SADC/EAC ila kuna wanafiki kama Uganda wamo ndani. Sasa tumeondoka kwenye kikosi cha kimataifa tunarudi nyumbani kulinda mipaka yetu hatutaki uchokozi. Tumeusoma mchezo wake asijaribu kutaka kupanua nchi yake upande wa Tanzania tutaimeza rwanda yote
SADC sio wajinga lakini Tshisekedi ndiye mjinga na kwa jinsi hii Kongo wataendelea kuwa maskini mpaka watakapopata akiliHaya sasa!
SADC wamesalimu amri kwa M23/ Rwanda. Wakuu wa nchi wameamua Vikosi vilivyopo Congo viondoke.
Sote tunakumbuka, hili lilikuwa takwa na agizo la M23 na Kagame kuwa vikosi vyote vya kigeni viondoke Mashariki mwa Congo DRC.
Nadhani kwa haya yaliyotokea, sote sasa tunajua mbabe wa Afrika ni Kagame/ Rwanda!
Msiniulize tena kwa nini nitailani milele CCM kwa kutufikisha hapa.
View attachment 3269444View attachment 3269445View attachment 3269445
===
Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) imeamua kumaliza rasmi operesheni yake ya kijeshi katika eneo la mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) kufuatia hasara kubwa zilizopatikana, ikiwemo vifo vya zaidi ya wanajeshi kumi na wanne mnamo Januari.
Uamuzi huu ulifikiwa katika mkutano wa kilele wa mtandaoni siku ya Alhamisi, ukihitimisha operesheni ambayo ililenga kurejesha amani na usalama katika eneo hilo ambalo limekuwa likikumbwa na migogoro kwa takriban miongo mitatu.
Taarifa ya mkutano huo wa Machi 13, 2025, ilithibitisha kuwa mamlaka ya SADC Mission in the DRC (SAMIDRC) yamekamilika, na kwamba kuondolewa kwa vikosi kutafanyika kwa awamu.
SAMIDRC, ambayo ilihusisha wanajeshi kutoka Malawi, Tanzania, na Afrika Kusini, ilitumwa DRC mnamo Desemba 2023 kusaidia serikali ya nchi hiyo kupambana na ghasia zinazoendelea.
Hata hivyo, operesheni hiyo ilikumbwa na hasara kubwa, hasa kwa Afrika Kusini, ambayo ilipoteza wanajeshi 14 mnamo Januari wakati wa mapigano. Aidha, wanajeshi watatu wa Malawi na wanajeshi wawili wa Tanzania pia waliuawa kwenye mapambano hayo.
Afrika Kusini, ambayo inadaiwa kuwa na idadi kubwa ya wanajeshi waliotumwa DRC, imekuwa ikishinikizwa kuondoa vikosi vyake, hasa baada ya ripoti kuonyesha kuwa baadhi ya wanajeshi wake wamezuiliwa kambini na wapiganaji wa M23.
Tangazo la kuondolewa kwa vikosi vya kijeshi limetolewa siku moja tu baada ya Angola kuthibitisha kuwa mazungumzo ya amani kati ya DRC na kundi la waasi la M23 yataanza wiki ijayo jijini Luanda.
Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa amesema kuwa kuondolewa kwa vikosi kutafanyika kwa utaratibu, kulingana na hali ya usalama inavyoendelea katika eneo hilo.
Licha ya hali tete, alieleza matumaini kuwa juhudi za amani zinazoendelea na mazungumzo yanayotarajiwa kuanza zitasaidia kuimarisha utulivu katika eneo hilo.
SADC, kwa kushirikiana na Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), imekuwa ikitoa msukumo kwa suluhisho la kidiplomasia na kisiasa kuhusu mgogoro huo, huku ikihimiza jumuiya ya kimataifa kuchukua hatua dhidi ya janga kubwa la kibinadamu linaloendelea.
Hali inaendelea kuwa nyeti, huku kundi la waasi la M23, linalodaiwa kupata msaada kutoka Rwanda, likizidi kusonga mbele katika eneo lenye utajiri wa madini mashariki mwa DRC.
Rais wa Angola João Lourenço pia amekuwa mstari wa mbele katika juhudi za upatanishi, ambazo zimepata msukumo mpya baada ya kukutana na Rais wa DRC Félix Tshisekedi, ambaye hapo awali alikuwa akipinga mazungumzo ya moja kwa moja na M23.
Source: News Central
Binafsi naona huu ni mtego Kwa Rwanda. Sitaki kufafanua hapa. Something fishy and big is cooking. Tusubiri Muda utaongea.Wameamua kuachana nae kwasababu ni mpuuzi