Viongozi wa serikali, taasisi futurisheni kipindi cha mfungo wa Kwaresma

Viongozi wa serikali, taasisi futurisheni kipindi cha mfungo wa Kwaresma

Inasemwa ukifunga wengine wasijue wala usikae kwa kujitilisha huruma
 
Imekuwa kawaida kipindi cha Mfungo wa ramadhani viongozi wa serikali, taasisi mbalimbali za serikali na binafsi kufuturisha.

Sasa basi ili kuondoa dhana ya upendeleo au double standard ni vyema basi katika kipindi hiki cha Mfungo wa Kwaresma basi futari ikaandaliwa pia na taasisi hizo.

Ni vyema Ikulu ikaandaa kitu kama hiki nakumbuka Rais Magufuli pamoja ni mkristu alifuturisha Ikulu. Mawaziri, Ma RC na Ma DC na nyie pia muandae futari ya namna hii Kwa wadau wenu ili kuboresha mahusiano Kwa kutumia Mfungo wa Kwaresma.

Na nyie maaskofu ie TEC andaeni futari kipindi hiki muwaalike viongozi wenzenu wa kiserikali au Waislamu mjumuike pamoja kwenye futari. Kama Bakwata wanavyowaalika kwenye futari wanazoanda kipindi cha Mfungo wa Ramadhani.

Na taasisi nyingine kama voda, tbl muandae futari kipindi hiki cha Kwaresma kama mnavyofanya kipindi cha Ramadhani.

Mwisho nawatakia Mfungo mwema wa Kwaresma wakristu wote.
wote hao wahuni tu miaani watu wnatabika na njaa unasubili kulisha watu mwezi wa ramadhani huongo mtupu na uhuni
 
Wakristo tunajiweza,hatuna haja na futari za kupewa Kama ombaomba,watu wanasubiri kuunga folen kusubiri futari wakiwa wamepigilia kanzu zao na ndizi mifukoni[emoji28][emoji28]
sisi kawida yetu taalikana bila kadi wala michango nyiyi wachoyo bila mchango hali mtu
 
Back
Top Bottom