Viongozi wa Siasa,Dini & Jamii mbali mbali jichunguzeni.

Ngongo

Platinum Member
Joined
Sep 20, 2008
Posts
21,490
Reaction score
38,302
Heshima sana wanajamvi.

Kufuatia msiba wa Mume wa Mh Rais wa JMT tumeshudia viongozi wa Dini,Wanasiasa,Wasanii na Viongozi tofauti tofauti wakimimika kuelekea Zanzibar kutoa salamu za pole kwa Mh Rais.

Hakika jambo hili ni jambo la kiungwana sana na ndio utamaduni wetu Watanzania.

Binafsi nachukua nafasi hii adhimu kutuma salamu za pole kwa Mh Rais Samia Suluhu katika kipindi hiki kigumu.
Majuzi nilikuwa namsilikiliza Sheikh mmoja akimwaga darsa juu ya misiba migumu na inayoumiza.Alitaja misiba mizito ni kufiwa na Mume au Mke,Wazazi Baba au Mama na Watoto.

Nirejee kwanini nawalaumu viongozi wa Dini,wanasiasa na wasanii.
Tanzania iliingia katika aibu kubwa ya kupoteza maisha ya vijana,watoto,wakina Mama & Baba 29 October sikuona viongozi wetu wakiwakimbilia waliopoteza wapendwa wao,sikuona hata baada ya baada ya kuundwa Tume ya Jaji Chande sikuona viongozi wakiwafikia na kutoa misaada waathirika wa kadhia ya uchaguzi ulee.

Ngongo kwasasa Tunguu.
 
ok.🐒
 
Back
Top Bottom