Viongozi wa Simba heshimu mashabiki, kutoa maoni ni haki ya kikatiba

Mwishokambi

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2020
Posts
473
Reaction score
1,682
Kwa mujibu wa Katiba yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, ibara ya 18, Freedom of expession is an absolute right.Absolute right maana yake kwa wanasheria ni kuwa ni haki ambayo huwezi kuipoka kwa namna yoyote ile, you cannot abrogate freedom of expression.Hii haki ya kikatiba ya mwananchi yeyote wa Tanzania ambayo dunia nzima inaheshimiwa, matamko mbalimbali ya haki za binadamu, haki za uchumi yanaongelea hivyo.

Mwanachama wa Simba Dr Mo amekuwa akitoa maoni mbalimbali kuhusu mwenendo wa klabu ya Simba, Dr.Mo haridhishwi na maendeleo ya timu yetu, Simba ni timu yetu sisi wanachama, tumeanza kushabikia SImba sisi wengine tangu enzi za Mosses Mkandawile, tunaacha shughuli zetu tunakwenda kuipambania SImba, mimi nimenusurika sana Mbwa wa askari polisi pale uwanja wa Uhuru enzi hizo, enzi za akina Simba, Nyota Nyekundu, Ushirika ya Moshi, Sigara, Pilsner, Mecco, Reli ya Morogoro, Coastal Union, African Sports, Milambo ya Tabora, Tukuyu Stars ya akina Jimmy Morred, Steven Mussa, Jon Alex (Mussa na Alex marehemu) Godwin Aswile mlimba, Salum Kabunda Ninja, kulikuwa na Pamba ya akina Madata Lubigisa, Kitwana Seleman, Hamza Mponda, Dan Mhoja, Ali Bushiri, Mao Mkami Ball Dancer, Nyota Nyekundu ya akina Roster Ndunguru, Mohamed Mgalike.

Sisi tuko enzi hizo, wewe Try Again unayekamata watu sasa hivi ulikuwa wapi? Enzi hizo tunakimbizana na marehemu Jimmy David Ngonya.Wewe umekuja juzi tu leo unatufungulia kesi bro.

Mbona Injinia Hersi hamkamati Magoma Shaaban kwa kesi za mitandaoni, wewe uko Simba ndio maana watu wanaongelea timu yao, ungekuwa na familia yako huko halafu mtu akakuingia sawa lakini hii sio sawa kaka.

Wewe Dr.Mo na wewe mjinga sana, wewe hueleweki kama ndege au mnyama, ulifuata nini Masaki wakati wewe ulisema umtaki Mangungu?

Sisi wengine tusiomtaka Mangungu wala Try Again tumekaa kimyaaaaa waendelee wafanye watakavyo, ndio maana nasema hatutamfunga Yanga asilani.Mbona Kaduguda anawaongelea sana nyie viongozi kuwa sio watu wa mpira na hamumkamati? Sio vizuri, haki ya kutoa maoni iheshimiwe.Kama mnaongoza taasisi na hamuongozi vizuri watu watasema tu, mmetunyima furaha miaka mitano na mwaka huu furaha mnaendelea kutukosesha tena, nani atawapenda.
 
Kuna mtu anaochafua brand ya simba na kuwatukana viongozi wa simba kama mchome mbona hafungiliwi kesi kila kitu kina mipaka you must know your boundaries.
 
Wana mshughulikia Dr MO kama mfano kwa nyie mnao ukosoa uongozi.
Kwakua mmekua kama Nyumbu mnaogopa ku wakabili wata mtafuta na mwingine ivyoivyo mpaka kuwe na utulivu wanao utaka.
Nyumbu kule mbugani kazi Yao ni kushangaaa tu mwenzao aki liwa, Kesho yake nayeye analiwa😀😀
 
Kwa mujibu wa Katiba yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, ibara ya 18, Freedom of expession is an absolute right.Absolute right maana yake kwa wanasheria ni kuwa ni haki ambayo huwezi kuipoka kwa namna yoyote ile, you cannot abrogate freedom of expression.Hii haki ya kikatiba ya mwananchi yeyote wa Tanzania ambayo dunia nzima inaheshimiwa, matamko mbalimbali ya haki za binadamu, haki za uchumi yanaongelea hivyo.

Mwanachama wa Simba Dr Mo amekuwa akitoa maoni mbalimbali kuhusu mwenendo wa klabu ya Simba, Dr.Mo haridhishwi na maendeleo ya timu yetu, Simba ni timu yetu sisi wanachama, tumeanza kushabikia SImba sisi wengine tangu enzi za Mosses Mkandawile, tunaacha shughuli zetu tunakwenda kuipambania SImba, mimi nimenusurika sana Mbwa wa askari polisi pale uwanja wa Uhuru enzi hizo, enzi za akina Simba, Nyota Nyekundu, Ushirika ya Moshi, Sigara, Pilsner, Mecco, Reli ya Morogoro, Coastal Union, African Sports, Milambo ya Tabora, Tukuyu Stars ya akina Jimmy Morred, Steven Mussa, Jon Alex (Mussa na Alex marehemu) Godwin Aswile mlimba, Salum Kabunda Ninja, kulikuwa na Pamba ya akina Madata Lubigisa, Kitwana Seleman, Hamza Mponda, Dan Mhoja, Ali Bushiri, Mao Mkami Ball Dancer, Nyota Nyekundu ya akina Roster Ndunguru, Mohamed Mgalike.

Sisi tuko enzi hizo, wewe Try Again unayekamata watu sasa hivi ulikuwa wapi? Enzi hizo tunakimbizana na marehemu Jimmy David Ngonya.Wewe umekuja juzi tu leo unatufungulia kesi bro.

Mbona Injinia Hersi hamkamati Magoma Shaaban kwa kesi za mitandaoni, wewe uko Simba ndio maana watu wanaongelea timu yao, ungekuwa na familia yako huko halafu mtu akakuingia sawa lakini hii sio sawa kaka.

Wewe Dr.Mo na wewe mjinga sana, wewe hueleweki kama ndege au mnyama, ulifuata nini Masaki wakati wewe ulisema umtaki Mangungu?

Sisi wengine tusiomtaka Mangungu wala Try Again tumekaa kimyaaaaa waendelee wafanye watakavyo, ndio maana nasema hatutamfunga Yanga asilani.Mbona Kaduguda anawaongelea sana nyie viongozi kuwa sio watu wa mpira na hamumkamati? Sio vizuri, haki ya kutoa maoni iheshimiwe.Kama mnaongoza taasisi na hamuongozi vizuri watu watasema tu, mmetunyima furaha miaka mitano na mwaka huu furaha mnaendelea kutukosesha tena, nani atawapenda.
Enzi za Mkamashapu
 
Uongozi wa Simba haujamshtaki mtu. Huyo jamaa ameshtakiwa na Try Again. Siungi mkono ushabiki wa kutukana watu, ashtakiwe tu. Yale tuliyokuwa tunamshutumu Manara ndio hayo hayo aliyofanya jamaa
 
Viongozi wenu siku zote wanawatambua nyinyi mashabiki na wanachama kama ni mbumbumbu tu. Sasa ni kwa nini mnawakosoa viongozi wenu?
 
Back
Top Bottom