Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Sisi Simba ni timu ya mioyo yetu, hatufaidiki wala kunufaika na chochote zaidi ya furaha, watu wanasafiri kutoka Bukoba, Mbeya, Kigoma wengine wanatumia baiskeli kuja kuwasapoti nyie viongozi na timu kwa ujumla.
Miaka ya hivi karibuni ilikuwa nadra sana kusikia Simba ikizozana na mashabiki wake, ikikosolewa laivu ba wanachama na mashabiki wake.
Changamoto zilikuwepo lakini za kawaida sana, watu walibaki kukaa kimya wakijua yanatatulika.
Simba ilifika levo nyingine kabisa kimataifa, hata kocha wa Singida Patrick Aussems amesema juzi kwenue press conference yake kuwa huko ulaya Simba inaongelewa sana kuliko Yanga.
Lakini leo hii wengi tumegeuka waasi ndani ya Simba, haturidhishwi na hali ya mambo ndani ya klabu yetu.
Kwanza waliokuwa wanatuhamasisha habari za kampuni wametukimbia hadi leo hawataki kutuambia habari za transformation.
Leo wameshindwa kumsajili Chama wanasingizia umri wake, mara hana nidhamu, mara mwacheni aende kumbe wapi hamna lolote.
Ukisema ukweli unafungiwa uanachama wakati kutoa maoni is a constitutional rights.Katiba ya Simba haiwezi kuwa juu ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya 1977.
Sasa hiv wengi tumepunguza hata kwenda uwanjani kushangilia na kusapoti, hebu angalia leo saa 7 Wallsema watamshusha mzawa wa kibabe, wajinga wengi wakawa wanashangiliq, wakabadilika wakasema saa 12 watamshusha mgeni mbabe, kwahiyo mzawa hana thamani c ndio?
Acheni habari zenu nyie. Yaan mmeghairi kumtambulisha mzawa mkaona hana thaman mkamweka mgeni ili awasumbue tena kama chama muanze kuhaha.