Viongozi wa Simba muache kujichanganya na kucheza na akili za mashabiki wenu!

Makavuli

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2024
Posts
1,953
Reaction score
2,536
Mi nawashangaa sana Hawa viongozi wanavyojichanganya na kuweweseka utadhani wamekatwa vichwa!
Nimeona barua inayotembea mtandaoni kwamba wameandika barua caf wakiomba mechi yao ya marudiano ichezwe Algeria na awataki kucheza Zanzibar!

Nimejiuliza maswali mengi juu ya Hawa viongozi kama wako sawa vichwani mwao,,
Swali la kujiuliza wakati wametakiwa kupendekeza viwanja viwili watakavyotaka kuvitumia endapo kimojwapo kina changamoto je walipendekeza kiwanja kutoka Algeria?

Si walipendekeza kwa mkapa na Amaan Zanzibar?

Na caf wakapitisha hivyo viwanja viwili kwa maana ya kwamba kwa mkapa pamekuwa na changamoto inabidi wakacheze Amaan na sio nje ya hapo.

Sasa iyo barua ya kuomba wakacheze Algeria inawezekana ni muendelezo tu wa siasa za Mpira kucheza na akili za baadhi ya mbumbumbu wasioelewa kanuni na Sheria za michuano hii ikoje!

Viongozi Hawa wanaonyesha kabisa walivyo na hofu ya mechi ijayo sijui kwanini wamepoteana namna hii baada ya mabadiliko ya uwanja!

Timu Bora inashinda popote kwanini Hawa jamaa wamekuwa na hofu sana kucheza Zanzibar?
Pale kwa mkapa Kuna nini hasa kinachopelekea watoe milio ya Kila aina?

Caf washatoa ratiba yao na statement yao Iko very clear kwamba uelekeo ni Zanzibar mechi ya mkondo wa pili akuna kitachobadilika hapo ndani ya hizi siku 7 zilizobaki kama meneja wa uwanja wa Amaan ashapokea barua ya caf juu ya uwanja wake kutumika tarhe 25 kwenye fainali Aya mengine ni kujifurahisha tu!
 
Zanzibar na Morocco hawana maelewano ya kidplomasia
Timu ya Morocco ni ngumu kwenda Algeria
Hapa RS Berkane watazuiwa kuingia Algeria na RS Berkane watapewa points za mezani
 
Lakini kumbuka mwaka Jana hawakucheza final na usma na RS Berkane walipewa points za mezani
Uko sahihi na caf walitatua huo mgogoro ndio maana Berkane wamecheza pale very smooth na game zimeenda poa
Caf wanajua diplomasia
 
Chomoa mwiko huko nyuma kubabake kama inauma sana...ubaya ubwela.
 
Mi nawashangaa sana Hawa viongozi wanavyojichanganya na kuweweseka utadhani wamekatwa vichwa!
Nimeona barua inayotembea mtandaoni kwamba wameandika barua caf wakiomba mechi yao ya marudiano ichezwe Algeria na awataki kucheza Zanzibar!

Nimejiuliza maswali mengi juu ya Hawa viongozi kama wako sawa vichwani mwao,,
Swali la kujiuliza wakati wametakiwa kupendekeza viwanja viwili watakavyotaka kuvitumia endapo kimojwapo kina changamoto je walipendekeza kiwanja kutoka Algeria?

Si walipendekeza kwa mkapa na Amaan Zanzibar?

Na caf wakapitisha hivyo viwanja viwili kwa maana ya kwamba kwa mkapa pamekuwa na changamoto inabidi wakacheze Amaan na sio nje ya hapo.

Sasa iyo barua ya kuomba wakacheze Algeria inawezekana ni muendelezo tu wa siasa za Mpira kucheza na akili za baadhi ya mbumbumbu wasioelewa kanuni na Sheria za michuano hii ikoje!

Viongozi Hawa wanaonyesha kabisa walivyo na hofu ya mechi ijayo sijui kwanini wamepoteana namna hii baada ya mabadiliko ya uwanja!

Timu Bora inashinda popote kwanini Hawa jamaa wamekuwa na hofu sana kucheza Zanzibar?
Pale kwa mkapa Kuna nini hasa kinachopelekea watoe milio ya Kila aina?

Caf washatoa ratiba yao na statement yao Iko very clear kwamba uelekeo ni Zanzibar mechi ya mkondo wa pili akuna kitachobadilika hapo ndani ya hizi siku 7 zilizobaki kama meneja wa uwanja wa Amaan ashapokea barua ya caf juu ya uwanja wake kutumika tarhe 25 kwenye fainali Aya mengine ni kujifurahisha tu!
1747488352696.png

Usikute ni FAKE, maana bongo ni hatari kwa mafwekero..!!
 
Rage point alishajizolea, na anaendelea kujizolea, na hataacha kujizoelea..!!
Shida ya manyani na MAMMBWA ni kuweka matako yao kwenye kila kinachohusu Simba sports club..Simba ni kama maji kumamakeh lazima mtayanywa kwa sana.
 
Utopolo wamekuwa wasemaji na watetezi wa CAF. Kama Simba wanataka mechi ichezwe Algeria ni haki yao kutaka.
 
Back
Top Bottom