Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 34,637
- 38,029
Usikute imeandikwa na mbumbumbu mmoja toka kwa makolo..!!Inawezekana imeandikwa na wajukuu wa mzee magoma kutoka uto
Usikute imeandikwa na mbumbumbu mmoja toka kwa makolo..!!Inawezekana imeandikwa na wajukuu wa mzee magoma kutoka uto
Poleni sana utoUsikute imeandikwa na mbumbumbu mmoja toka kwa makolo..!!
Kwenye mapendekezo yenu ya viwanja mtavyotumia kilikuwepo kiwanja cha Algeria? Au mnadhani kule caf yupo mguto na kasongo!Zanzibar na Morocco hawana maelewano ya kidplomasia
Timu ya Morocco ni ngumu kwenda Algeria
Hapa RS Berkane watazuiwa kuingia Algeria na RS Berkane watapewa points za mezani
Inawezekana ni magori maana ndie anaropoka ovyo ovyo bila hoja za maana!Usikute imeandikwa na mbumbumbu mmoja toka kwa makolo..!!
Mi nawashangaa sana Hawa viongozi wanavyojichanganya na kuweweseka utadhani wamekatwa vichwa!
Nimeona barua inayotembea mtandaoni kwamba wameandika barua caf wakiomba mechi yao ya marudiano ichezwe Algeria na awataki kucheza Zanzibar!
Nimejiuliza maswali mengi juu ya Hawa viongozi kama wako sawa vichwani mwao,,
Swali la kujiuliza wakati wametakiwa kupendekeza viwanja viwili watakavyotaka kuvitumia endapo kimojwapo kina changamoto je walipendekeza kiwanja kutoka Algeria?
Si walipendekeza kwa mkapa na Amaan Zanzibar?
Na caf wakapitisha hivyo viwanja viwili kwa maana ya kwamba kwa mkapa pamekuwa na changamoto inabidi wakacheze Amaan na sio nje ya hapo.
Sasa iyo barua ya kuomba wakacheze Algeria inawezekana ni muendelezo tu wa siasa za Mpira kucheza na akili za baadhi ya mbumbumbu wasioelewa kanuni na Sheria za michuano hii ikoje!
Viongozi Hawa wanaonyesha kabisa walivyo na hofu ya mechi ijayo sijui kwanini wamepoteana namna hii baada ya mabadiliko ya uwanja!
Timu Bora inashinda popote kwanini Hawa jamaa wamekuwa na hofu sana kucheza Zanzibar?
Pale kwa mkapa Kuna nini hasa kinachopelekea watoe milio ya Kila aina?
Caf washatoa ratiba yao na statement yao Iko very clear kwamba uelekeo ni Zanzibar mechi ya mkondo wa pili akuna kitachobadilika hapo ndani ya hizi siku 7 zilizobaki kama meneja wa uwanja wa Amaan ashapokea barua ya caf juu ya uwanja wake kutumika tarhe 25 kwenye fainali Aya mengine ni kujifurahisha tu!
Hii ni sawasawa na kuroga tu..!!www.facebook.com
Haki yao ni kucheza Zanzibar ndiko walikochagua uwanja wa pili kama kanuni zilivyowaelekezaUtopolo wamekuwa wasemaji na watetezi wa CAF. Kama Simba wanataka mechi ichezwe Algeria ni haki yao kutaka.
Nimeona barua inayotembea mtandaoni kwamba wameandika barua caf wakiomba mechi yao ya marudiano ichezwe Algeria na awataki kucheza Zanzibar!
Wengine tukichangia huko kwenye magrupu tanaishia kutukanwa tu.Mi nawashangaa sana Hawa viongozi wanavyojichanganya na kuweweseka utadhani wamekatwa vichwa!
Nimeona barua inayotembea mtandaoni kwamba wameandika barua caf wakiomba mechi yao ya marudiano ichezwe Algeria na awataki kucheza Zanzibar!
Nimejiuliza maswali mengi juu ya Hawa viongozi kama wako sawa vichwani mwao,,
Swali la kujiuliza wakati wametakiwa kupendekeza viwanja viwili watakavyotaka kuvitumia endapo kimojwapo kina changamoto je walipendekeza kiwanja kutoka Algeria?
Si walipendekeza kwa mkapa na Amaan Zanzibar?
Na caf wakapitisha hivyo viwanja viwili kwa maana ya kwamba kwa mkapa pamekuwa na changamoto inabidi wakacheze Amaan na sio nje ya hapo.
Sasa iyo barua ya kuomba wakacheze Algeria inawezekana ni muendelezo tu wa siasa za Mpira kucheza na akili za baadhi ya mbumbumbu wasioelewa kanuni na Sheria za michuano hii ikoje!
Viongozi Hawa wanaonyesha kabisa walivyo na hofu ya mechi ijayo sijui kwanini wamepoteana namna hii baada ya mabadiliko ya uwanja!
Timu Bora inashinda popote kwanini Hawa jamaa wamekuwa na hofu sana kucheza Zanzibar?
Pale kwa mkapa Kuna nini hasa kinachopelekea watoe milio ya Kila aina?
Caf washatoa ratiba yao na statement yao Iko very clear kwamba uelekeo ni Zanzibar mechi ya mkondo wa pili akuna kitachobadilika hapo ndani ya hizi siku 7 zilizobaki kama meneja wa uwanja wa Amaan ashapokea barua ya caf juu ya uwanja wake kutumika tarhe 25 kwenye fainali Aya mengine ni kujifurahisha tu!
Matusi wakikutukana wewe simama na ukweli wasikubabaisheWengine tukichangia huko kwenye magrupu tanaishia kutukanwa tu.
Vipi khs mashabiki 12,000 na zaidi walikata tiketiMm nashauri simba mechi ichezwe Algeria ili kuwavua nguo wanaotuhujumu
Hawa huwa hawajali mashabiki. Waliingia mitini tarehe 8 huku mashabiki washakata tiketiVipi khs mashabiki 12,000 na zaidi walikata tiketi
Wanasema mashabiki 12,000 walishakata tiketi ivyo kuhamisha mechi Aiwezekani but wamesahau derby walishakata tiketi zaidi ya mashabiki elfu 40000 na bado wakaweka Mpira kwapani wakatokomea kusikojulikana,,Leo hii wanaleta hoja za mashabiki kukata tiketi🤔🤔Vipi khs mashabiki 12,000 na zaidi walikata tiketi
na wale mbuzi 15000 mliofukia pale kwa mkapa itakuwaje?Mm nashauri simba mechi ichezwe Algeria ili kuwavua nguo wanaotuhujumu
Nani anatumika kijana? Makinika, janja janja za Karia hazifua dafu hukoBora kua kiazi kuliko kutumika kama MANYANI na berkane kuihujumu Simba. Mwaka huu lazima watu Wanye mavi.
Wanataka mechi ichezwe Algeria ( km ni kweli ) sasa hao mashabiki itakuaje wamewafikiria ?Wanasema mashabiki 12,000 walishakata tiketi ivyo kuhamisha mechi Aiwezekani but wamesahau derby walishakata tiketi zaidi ya mashabiki elfu 40000 na bado wakaweka Mpira kwapani wakatokomea kusikojulikana,,Leo hii wanaleta hoja za mashabiki kukata tiketi🤔🤔