Anaye karabati uwanja wa taifa ni nani, halafu kwanini kwa mkapa hakuna pampu ya kupunguza maji uwanjaniMm nashauri simba mechi ichezwe Algeria ili kuwavua nguo wanaotuhujumu
Wakapige game nou camp😂😂 wameomba game ipigwe Algeria??
Kama ni kweli basi jamaa ni viazi
Mbona hawakuzuiwa mechi na CS ConstantineZanzibar na Morocco hawana maelewano ya kidplomasia
Timu ya Morocco ni ngumu kwenda Algeria
Hapa RS Berkane watazuiwa kuingia Algeria na RS Berkane watapewa points za mezani
Lakini kumbuka mwaka Jana hawakucheza final na usma na RS Berkane walipewa points za mezaniMbona hawakuzuiwa mechi na CS Constantine
Kwa nni mnaendelea kumpa Rage point nyingi!?
Rage point alishajizolea, na anaendelea kujizolea, na hataacha kujizoelea..!!Mbona hawakuzuiwa mechi na CS Constantine
Kwa nni mnaendelea kumpa Rage point nyingi!?
Uko sahihi na caf walitatua huo mgogoro ndio maana Berkane wamecheza pale very smooth na game zimeenda poaLakini kumbuka mwaka Jana hawakucheza final na usma na RS Berkane walipewa points za mezani
Mi nawashangaa sana Hawa viongozi wanavyojichanganya na kuweweseka utadhani wamekatwa vichwa!
Nimeona barua inayotembea mtandaoni kwamba wameandika barua caf wakiomba mechi yao ya marudiano ichezwe Algeria na awataki kucheza Zanzibar!
Nimejiuliza maswali mengi juu ya Hawa viongozi kama wako sawa vichwani mwao,,
Swali la kujiuliza wakati wametakiwa kupendekeza viwanja viwili watakavyotaka kuvitumia endapo kimojwapo kina changamoto je walipendekeza kiwanja kutoka Algeria?
Si walipendekeza kwa mkapa na Amaan Zanzibar?
Na caf wakapitisha hivyo viwanja viwili kwa maana ya kwamba kwa mkapa pamekuwa na changamoto inabidi wakacheze Amaan na sio nje ya hapo.
Sasa iyo barua ya kuomba wakacheze Algeria inawezekana ni muendelezo tu wa siasa za Mpira kucheza na akili za baadhi ya mbumbumbu wasioelewa kanuni na Sheria za michuano hii ikoje!
Viongozi Hawa wanaonyesha kabisa walivyo na hofu ya mechi ijayo sijui kwanini wamepoteana namna hii baada ya mabadiliko ya uwanja!
Timu Bora inashinda popote kwanini Hawa jamaa wamekuwa na hofu sana kucheza Zanzibar?
Pale kwa mkapa Kuna nini hasa kinachopelekea watoe milio ya Kila aina?
Caf washatoa ratiba yao na statement yao Iko very clear kwamba uelekeo ni Zanzibar mechi ya mkondo wa pili akuna kitachobadilika hapo ndani ya hizi siku 7 zilizobaki kama meneja wa uwanja wa Amaan ashapokea barua ya caf juu ya uwanja wake kutumika tarhe 25 kwenye fainali Aya mengine ni kujifurahisha tu!
Shida ya manyani na MAMMBWA ni kuweka matako yao kwenye kila kinachohusu Simba sports club..Simba ni kama maji kumamakeh lazima mtayanywa kwa sana.Rage point alishajizolea, na anaendelea kujizolea, na hataacha kujizoelea..!!
Inasikitisha sanaRage point alishajizolea, na anaendelea kujizolea, na hataacha kujizoelea..!!
Bora kua kiazi kuliko kutumika kama MANYANI na berkane kuihujumu Simba. Mwaka huu lazima watu Wanye mavi.😂😂 wameomba game ipigwe Algeria??
Kama ni kweli basi jamaa ni viazi
Inaonyesha ni fake hii.View attachment 3337157
Usikute ni FAKE, maana bongo ni hatari kwa mafwekero..!!
We endelea kunya damu..!!Bora kua kiazi kuliko kutumika kama MANYANI na berkane kuihujumu Simba. Mwaka huu lazima watu Wanye mavi.
Tafuta kazi ya kufanya upate pesa umasikini unakusumbuaShida ya manyani na MAMMBWA ni kuweka matako yao kwenye kila kinachohusu Simba sports club..Simba ni kama maji kumamakeh lazima mtayanywa kwa sana.
Inawezekana imeandikwa na wajukuu wa mzee magoma kutoka utoView attachment 3337157
Usikute ni FAKE, maana bongo ni hatari kwa mafwekero..!!