Viongozi wa Simba muache kujichanganya na kucheza na akili za mashabiki wenu!

Zanzibar na Morocco hawana maelewano ya kidplomasia
Timu ya Morocco ni ngumu kwenda Algeria
Hapa RS Berkane watazuiwa kuingia Algeria na RS Berkane watapewa points za mezani
Kwenye mapendekezo yenu ya viwanja mtavyotumia kilikuwepo kiwanja cha Algeria? Au mnadhani kule caf yupo mguto na kasongo!
 
 
Tunachezewa akili mashabiki wa simba ila wanao umia ni uto😅
 
Nimeona barua inayotembea mtandaoni kwamba wameandika barua caf wakiomba mechi yao ya marudiano ichezwe Algeria na awataki kucheza Zanzibar!

Itakuwa barua famba ile raia wameitengeneza tu...
 
Wengine tukichangia huko kwenye magrupu tanaishia kutukanwa tu.
 
HAKUNA UMASIKINI MBAYA KAMA UMASIKINI WA FIKRA.

MWALIMI. JK NYERERE
 
Vipi khs mashabiki 12,000 na zaidi walikata tiketi
Wanasema mashabiki 12,000 walishakata tiketi ivyo kuhamisha mechi Aiwezekani but wamesahau derby walishakata tiketi zaidi ya mashabiki elfu 40000 na bado wakaweka Mpira kwapani wakatokomea kusikojulikana,,Leo hii wanaleta hoja za mashabiki kukata tiketi🤔🤔
 
Unachukuwa taarifa kwenye page za umbea unakuja kuandikia Uzi. Mnakuwa na mihemko sana.
 
Wanataka mechi ichezwe Algeria ( km ni kweli ) sasa hao mashabiki itakuaje wamewafikiria ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…