King Leon 1
JF-Expert Member
- Oct 25, 2019
- 245
- 342
- Thread starter
- #41
Nashindwa kuelewa kabisa aseehSawa lakini wanaishi kwa matumaini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nashindwa kuelewa kabisa aseehSawa lakini wanaishi kwa matumaini
Hahahahaha hiyo siyo kazi yangu, nami nanufaika kwa hayo wafanyayo kwa namna mojaTuletee taarifa sahihi na uthibitisho mzee tujue wazi
Hahahahaha walau wenzao wako watu wanaopenda mpira na timu , ila kule ni wapenda pesa ya mpiraMapacha wa Kariakoo
Wewe unafaidika nini na migogoro na kudidimia kwa Simba Sport Club ??Hahahahaha hiyo siyo kazi yangu, nami nanufaika kwa hayo wafanyayo kwa namna moja
Hahahahaha siko ktk migogoro, niko na biashara na simba na hao viongozi mnaowasema ni wabovuWewe unafaidika nini na migogoro na kudidimia kwa Simba Sport Club ??
Basi kwanini usitumie nafasi iyo kufikisha maoni yako kwa karibuHahahahaha siko ktk migogoro, niko na biashara na simba na hao viongozi mnaowasema ni wabovu
Hahahahaha mkuu we nielewe kwani unadhani hawawasikii ? Mpira ni biashara sasa mtu akuambia acha hii biashara wkt inakulipa ? Na anayesema hivyo hajui loloteBasi kwanini usitumie nafasi iyo kufikisha maoni yako kwa karibu
Kwa navyojua mimi, siku zote sehem yenye utulivu na amani ndio maslahi na faida utafunwa vizuri,kwa maana migogoro na vuguvugu siku zote ufanya maslahi na faida kuharibika . Asa unasemaje wanafurahia hii hali ?Hahahahaha mkuu we nielewe kwani unadhani hawawasikii ? Mpira ni biashara sasa mtu akuambia acha hii biashara wkt inakulipa ? Na anayesema hivyo hajui lolote
Kwan simba ina mgogoro? Huoni utulivu uliopo ? Nitajie mgogoro ulipoKwa navyojua mimi, siku zote sehem yenye utulivu na amani ndio maslahi na faida utafunwa vizuri,kwa maana migogoro na vuguvugu siku zote ufanya maslahi na faida kuharibika . Asa unasemaje wanafurahia hii hali ?
Okay, migogoro baina ya wachezaji kadhaa, migogoro kati ya viongozi n.kKwan simba ina mgogoro? Huoni utulivu uliopo ? Nitajie mgogoro ulipo
Kama ipi nipe mfano , mgogoro mmoja wa wachezaji na Viongozi kadhaaOkay, migogoro baina ya wachezaji kadhaa, migogoro kati ya viongozi n.k
Mzee najua unajua ila ngoja niwe mvumilivu nijue taarifa unayolenga,,,Kama ipi nipe mfano , mgogoro mmoja wa wachezaji na Viongozi kadhaa
Hahahahaha hayo ni mambo ya biashara, mchezaji ni bidhaa, sasa km hufiki bei ya bidhaa inakuaje?Mzee najua unajua ila ngoja niwe mvumilivu nijue taarifa unayolenga,,,
Migogoro ya wachezaji ni kutokamilishwa ,Kuwekwa vizuizini wachezaji wao,na pia kushtakiwa na baadhi ya klabu juu ya kurubuniwa kwa wachezaji wao.
Orodha hii apa chini
Mwenda
Lameck lawi
Aishi Manula
Awesu awesu
Kibu denis
Mashaka N.k
Wameacha kuiba uwanja wa ndege wamekuaDaah! Poleni sana watani.
Kumbe na Aweso naye mlimuiba. 😅
Wamehamia kwenye vilabu vidogo. Lol.Wameacha kuiba uwanja wa ndege wamekua
Kumbuka palipo na vurugu na migogoro basi kila kitu utoweka haijalishi biashara gani inafanyika, nafikiri ata wao hali hii inawapa shida sana maana itatikisa meza ya maslahi na biashara zaoHahahahaha hayo ni mambo ya biashara, mchezaji ni bidhaa, sasa km hufiki bei ya bidhaa inakuaje?
Katika biashara ya Mpira kuna
Club = Duka
Mchezaji = Bidhaa
Kiongozi = Mnunuzi
Wakala = Mchuuzi
Sasa ktk biashara kuna kukubaliana
Umafia umepitwa na wakatiWameacha kuiba uwanja wa ndege wamekua
Hahahahaha mtikisiko ni wakawaida maana ndio style yao ya uongozi we uko nao mbaliKumbuka palipo na vurugu na migogoro basi kila kitu utoweka haijalishi biashara gani inafanyika, nafikiri ata wao hali hii inawapa shida sana maana itatikisa meza ya maslahi na biashara zao