Viongozi wa Simba ndio wanaiua timu bila wao kujua kwa kufanya usajili wa kizamani mwishowe wanapoteza wachezaji je nini kifanyike?

Kwa navyojua mimi, siku zote sehem yenye utulivu na amani ndio maslahi na faida utafunwa vizuri,kwa maana migogoro na vuguvugu siku zote ufanya maslahi na faida kuharibika . Asa unasemaje wanafurahia hii hali ?
 
Hahahahaha mkuu we nielewe kwani unadhani hawawasikii ? Mpira ni biashara sasa mtu akuambia acha hii biashara wkt inakulipa ? Na anayesema hivyo hajui lolote
Kwa navyojua mimi, siku zote sehem yenye utulivu na amani ndio maslahi na faida utafunwa vizuri,kwa maana migogoro na vuguvugu siku zote ufanya maslahi na faida kuharibika . Asa unasemaje wanafurahia hii hali ?
 
Kwa navyojua mimi, siku zote sehem yenye utulivu na amani ndio maslahi na faida utafunwa vizuri,kwa maana migogoro na vuguvugu siku zote ufanya maslahi na faida kuharibika . Asa unasemaje wanafurahia hii hali ?
Kwan simba ina mgogoro? Huoni utulivu uliopo ? Nitajie mgogoro ulipo
 
Kama ipi nipe mfano , mgogoro mmoja wa wachezaji na Viongozi kadhaa
Mzee najua unajua ila ngoja niwe mvumilivu nijue taarifa unayolenga,,,
Migogoro ya wachezaji ni kutokamilishwa ,Kuwekwa vizuizini wachezaji wao,na pia kushtakiwa na baadhi ya klabu juu ya kurubuniwa kwa wachezaji wao.
Orodha hii apa chini
Mwenda
Lameck lawi
Aishi Manula
Awesu awesu
Kibu denis
Mashaka N.k
 
Hahahahaha hayo ni mambo ya biashara, mchezaji ni bidhaa, sasa km hufiki bei ya bidhaa inakuaje?

Katika biashara ya Mpira kuna

Club = Duka
Mchezaji = Bidhaa
Kiongozi = Mnunuzi
Wakala = Mchuuzi

Sasa ktk biashara kuna kukubaliana
 
Kumbuka palipo na vurugu na migogoro basi kila kitu utoweka haijalishi biashara gani inafanyika, nafikiri ata wao hali hii inawapa shida sana maana itatikisa meza ya maslahi na biashara zao
 
Hahahahaha mtikisiko ni wakawaida maana ndio style yao ya uongozi we uko nao mbali
 
Back
Top Bottom