Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Hii timu ina viongozi wasiokuwa na maono kabisa na upigaji uliokithiri, pale mo arena tayari pana pitch nzuri tu. Kilichobakia hapo ni maboresho madogo tu.
Vyumba vya kubadilishia nguo wachezaji pamoja na vyoo, majukwaa mtaweka baadhi tu kwa kuwa mnaanza kidogo kidogo.
Mkipata 1b hata kwa kukopa mbona mtapiga hatua kubwa tu. Kuliko huku kutanga tanga mara mwanza nasikia mechi ijayo dhidi ya mtibwa mmechagua moro.
Nyie viongozi changamsheni akili zenu hapo.