Ila nikikumbuka mashabiki wa Simba walishangilia manzoki kuongea mkutanoni na kuita yanga sijui rangi ya nyoka na Mangungu akashinda kwa kishindo hapo ndio naona soka letu bado sana na uelewa wa watu wetu ni mdogo sana maana hii tu ilitosha kuwa sababu ya kuvunja ule mkutano