Hajawahi kufeli huyu mwambaMpeni tenda awapeleke viongoz wenu mahakaman
View attachment 3045585
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hajawahi kufeli huyu mwambaMpeni tenda awapeleke viongoz wenu mahakaman
View attachment 3045585
POLE SANA KIJANAOna naye huyu! TOPOLO lenzie limeanzisha mada ile, haijaisha, linachomeka mada nyingine!
--Wenye akili kaongezeka MZEE MAGOMA tu!
HATARI SANA MKUUIla nikikumbuka mashabiki wa Simba walishangilia manzoki kuongea mkutanoni na kuita yanga sijui rangi ya nyoka na Mangungu akashinda kwa kishindo hapo ndio naona soka letu bado sana na uelewa wa watu wetu ni mdogo sana maana hii tu ilitosha kuwa sababu ya kuvunja ule mkutano
BORA UMEJIJIBU MWENYEWHawawezi kuja hapa ukitaka majibu sahihi nenda msimbazi ama hudhuria vikao, swali fikirishi je vikao vinafanyika?