Hahaa hana vyetiGENTAMYCINE atatufaa sana
Vipi kuhusu umri na kuchoka?Kocha ww huoni wanacheza km juzi ina maanisha kocha ndio shida
Zrane wamemtoa kafara tu.Na mimi sijalijua kwa kweli au labda kuna kosa.?
Hivi wamefanyaje usaliti? Wameshikishwa mlungula nini au imekuaje? Sijasikia mtu akisema kwa undani hii habari, naomba nijuze!Sijaona kosa la mturuki Zrane, hata sina hamu ya kuwaangalia hao wasaliti.
Naunga mkono hoja! Kocha msaidizi apewe NAWATAFUNA , na yule wa makipa awe CHIZI VITABU! Hapo timu itapata ushindi kwa 100%GENTAMYCINE atatufaa sana
Afu kamati ya ufundi apewe nani..?Naunga mkono hoja! Kocha msaidizi apewe NAWATAFUNA , na yule wa makipa awe CHIZI VITABU! Hapo timu itapata ushindi kwa 100%