Viongozi wa simba. Tuleteeni kocha haraka

Viongozi wa simba. Tuleteeni kocha haraka

Theb

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2019
Posts
3,927
Reaction score
7,276
Kwa maoni yangu tu kwa muda mchache ninaongalia timu yetu pendwa ya simba sport club naona kabisa huyu kocha hamna kitu aisee tuleteeeni mtu km kishingo angalau. Ila huyu aibu zinakuja mbele yetu.

Wadau wengine mlete maoni yenu kwa muda huu tu mchache mnao tazama huu mchezo wa simba na polisi. Kwa mwendo huu hakika tutazidi kupeana mateso tu.
 
Kwani mwinjaku muhamasishaji yeye ameshauri nini kwa sasa? Maana aliwashauri mtee wamnyama hadi mwenge sijui mlifuata ushauri wake au vipi
 
Kwani mwinjaku muhamasishaji yeye ameshauri nini kwa sasa? Maana aliwashauri mtee wamnyama hadi mwenge sijui mlifuata ushauri wake au vipi
Jitambue basi
 
Hivi wamefanyaje usaliti? Wameshikishwa mlungula nini au imekuaje? Sijasikia mtu akisema kwa undani hii habari, naomba nijuze!
Acha wajuzi wapite watatuambia
 
Back
Top Bottom