gango2
JF-Expert Member
- Aug 31, 2011
- 1,956
- 2,274
Habari wakuu!
Nimesikia leo toka viongozi wa Simba kuwa wanaenda kuzindua Jessey zao Mlima kilimanjaro!
Well, mpaka sasa sijaona logic behind hii decision zaidi ya kuona ni kukurupuka baada ya kuona Yanga wamezindua Jezi zao Ikulu. Hakuna haja ya kufanya kitu kama hicho kuonyesha mnazindua Jezi mahala ambapo mtaonekana mpo juu ya Yanga. Kulikuwa na ulazima gani wa kufanya hivi.
Tukio zima la Uzinduzi wa Jezi ni kitu muhimu kuonyesha kwa kiasi gani club iko makini katika kupangilia mambo yake na kuongeza value ya jezi husika. Yanga wamefanya waliyofanya baada ya kuona kuna opportunity kutumia presence ya marais wawili.
Binafsi naona kulikuwa na namna bora zaidi ya uzinduzi wa jezi lakini Mlimani ingekuwa ni sehemu ya kuipeleka tu jezi baada ya kuzinduliwa. Hebu tujifunze wenzetu wanavyopangilia mambo yao mfano walizindua jezi za Haier vizuri sana na wakaongeza thamani ya jezi zao kuuzwa 50k na zikaisha. Pia wanapangilia mambo yao very proffesional kutuzidi sisi.
kama hamjui tu, thamani za jezi za Yanga ni kubwa kuliko za zetu na wao ndio wanadetermine ni kiasi gani ziuzwe kwenye market. Now wameweka 35k-40 na zinaisha, na sisi tunapita humo humo, lakini sisi tungejaribu kuanza na hii bei tungechemka.