Viongozi wa Simba tulieni, mnakurupuka sana

Hatimae tumekifungua
F1E5ZT3WIAAmqC4.jpeg.jpg
 
Wewe bado uko huko, wenzio walishakubali. Ingia page ya CAF, rekodi za Simba wameziweka wazi. Usiturudishe huko maana hii mada tumeiongelea sana humu hadi Rais wa nchi mnayejisifu kula naye ubwabwa aliwaambia mbele yenu Simba ameshawahi kufika hiyo hatua.
Page ya CAF ipi,kama ipo WEKA LINK KUTOKA PAGE YA CAF (ukiipata link kutoka page ya CAF au hata verified account zao za social networks) nafuta account yangu humu JF,kama ipo iweke na mnapotiza mpira msikilizege hata watangazaji wanapo tangaza na kurefer kwenye rekodi.

Kwa MUJIBU WA CAF na kwenye database za CAF hujawahi kugusa hata NUSU ya michuano yotote ile ya CAF.
 
Page ya CAF ipi,kama ipo WEKA LINK KUTOKA PAGE YA CAF (ukiipata link kutoka page ya CAF) nafuta account yangu humu JF,kama ipo iweke na mnapotiza mpira msikilizege hata watangazaji wanapo tangaza na kurefer kwenye rekodi.

Kwa MUJIBU WA CAF na kwenye database za CAF hujawahi kugusa hata NUSU ya michuano yotote ile ya CAF.
Tumelijadili hili sana tu na binafsi link nilizileta tukalimaliza bwashee. Pia Rais aliwaambia pale Ikulu kwamba mlichofanya siyo kipya nchi hii, mbona hamkumbishia na ubwabwa wake mkabugia?

Unajichoresha tu kwa haya maneno yako.
 
Tumelijadili hili sana tu na binafsi link nilizileta tukalimaliza bwashee. Pia Rais aliwaambia pale Ikulu kwamba mlichofanya siyo kipya nchi hii, mbona hamkumbishia na ubwabwa wake mkabugia?
Leta link kutoka kwenye PAGE ya CAF hapa.

Sasa unabishana na wenye kombe lao,OK mfano rais akisema imefika fainal ya Intercontinental upande wa club, ndio maana yake mmefika?

Wenye kombe lao CAF hawakujui kama ushawahi kufika hata nusu.
Na ndio maana wakaaa.........(soma bango hilo).
Screenshot_20230604_192518_Instagram.jpg
 
Leta link kutoka kwenye PAGE ya CAF hapa.

Sasa unabishana na wenye kombe lao,OK mfano rais akisema imefika fainal ya Intercontinental upande wa club, ndio maana yake mmefika?

Wenye kombe lao CAF hawakujui kama ushawahi kufika hata nusu.
Na ndio maana wakaaa.........(soma bango hilo).
View attachment 2688999
Duh! Embu niwaache wengine watakujibu maana inaonyesha kama haukuwa mitandaoni kwa kipindi cha miezi 4 iliyopita. Nimeacha tabia ya kuleta ushahidi humu mtu anapodai maana nimeona haisaidii, sanasana utakimbia uzi tu kama wenzako wanavyofanyaja. Wewe unadhani tweet na taarifa inayopatikana kwenye tovuti ya taasisi hiyo hiyo, ipi ni taarifa iliyo na uhakika zaidi?

Kama una nia ya kweli ya kujifunza na umeamua kudharau maarifa unayopewa na wengine, pia kauli ya Rais wa nchi na hata ya Rais wa TFF, ingia mwenyewe tovuti ya CAF angalia rekodi za Simba au waulize wazee hapo mtaani kwako.
 
Duh! Embu niwaache wengine watakujibu maana inaonyesha kama haukuwa mitandaoni kwa kipindi cha miezi 4 iliyopita. Nimeacha tabia ya kuleta ushahidi humu mtu anapodai maana nimeona haisaidii sanasana utakimbia uzi tu kama wenzako wanavyofanyaja. Wewe unadhani tweet na taarifa inayopatikana kwenye tovuti ya taasisi hiyo hiyo, ipi ni taarifa iliyo na uhakika zaidi?

Kama una nia ya kweli ya kujifunza na umeamua kudharau maarifa unayopewa na wengine, pia kauli ya Rais wa nchi na hata ya Rais wa TFF, ingia mwenyewe tovuti ya CAF angalia rekodi za Simba au waulize wazee hapo mtaani kwako.
Wenzangu wakina nani?

Hizi reference zipo CAF na ndio maana kwenye mechi hata watangazaji huwaga wana refer wakati wakitangaza ,hivi unawasikilizaga kweli au unashangilia magoli tu?

Kauli ya rais wa nchi na ya TFF ,sio ya CAF mimi nikitaka history ya michuano INAYO ANDALIWA na CAF nitaenda kwenye website au verified social networks za CAF.
 
Habari wakuu!

Nimesikia leo toka viongozi wa Simba kuwa wanaenda kuzindua Jessey zao Mlima kilimanjaro!

Well, mpaka sasa sijaona logic behind hii decision zaidi ya kuona ni kukurupuka baada ya kuona Yanga wamezindua Jezi zao Ikulu. Hakuna haja ya kufanya kitu kama hicho kuonyesha mnazindua Jezi mahala ambapo mtaonekana mpo juu ya Yanga. Kulikuwa na ulazima gani wa kufanya hivi.

Tukio zima la Uzinduzi wa Jezi ni kitu muhimu kuonyesha kwa kiasi gani club iko makini katika kupangilia mambo yake na kuongeza value ya jezi husika. Yanga wamefanya waliyofanya baada ya kuona kuna opportunity kutumia presence ya marais wawili.

Binafsi naona kulikuwa na namna bora zaidi ya uzinduzi wa jezi lakini Mlimani ingekuwa ni sehemu ya kuipeleka tu jezi baada ya kuzinduliwa. Hebu tujifunze wenzetu wanavyopangilia mambo yao mfano walizindua jezi za Haier vizuri sana na wakaongeza thamani ya jezi zao kuuzwa 50k na zikaisha. Pia wanapangilia mambo yao very proffesional kutuzidi sisi.

kama hamjui tu, thamani za jezi za Yanga ni kubwa kuliko za zetu na wao ndio wanadetermine ni kiasi gani ziuzwe kwenye market. Now wameweka 35k-40 na zinaisha, na sisi tunapita humo humo, lakini sisi tungejaribu kuanza na hii bei tungechemka.
Simba kuna watu sijui huwa wanafikiri nini!
Wanatengeneza mijezi ya kiwango duni eti kila mtu anunue.Matokeo yake kuna watu wengi sana wanaopenda vitu quality hawanunui hizi jezi zao.
Kwa hiyo Simba inaonekana ni ya boda boda na waendesha baiskeli wa Shinyanga
 
Wenzangu wakina nani?

Hizi reference zipo CAF na ndio maana kwenye mechi hata watangazaji huwaga wana refer wakati wakitangaza ,hivi unawasikilizaga kweli au unashangilia magoli tu?

Kauli ya rais wa nchi na ya TFF ,sio ya CAF mimi nikitaka history ya michuano INAYO ANDALIWA na CAF nitaenda kwenye website au verified social networks za CAF.
Sawa mkuu!
 
Kwani wakizindulia huko kuna shida gani? Au wewe ulitaka wazindulie wapi?
 
Habari wakuu!

Nimesikia leo toka viongozi wa Simba kuwa wanaenda kuzindua Jessey zao Mlima kilimanjaro!

Well, mpaka sasa sijaona logic behind hii decision zaidi ya kuona ni kukurupuka baada ya kuona Yanga wamezindua Jezi zao Ikulu. Hakuna haja ya kufanya kitu kama hicho kuonyesha mnazindua Jezi mahala ambapo mtaonekana mpo juu ya Yanga. Kulikuwa na ulazima gani wa kufanya hivi.

Tukio zima la Uzinduzi wa Jezi ni kitu muhimu kuonyesha kwa kiasi gani club iko makini katika kupangilia mambo yake na kuongeza value ya jezi husika. Yanga wamefanya waliyofanya baada ya kuona kuna opportunity kutumia presence ya marais wawili.

Binafsi naona kulikuwa na namna bora zaidi ya uzinduzi wa jezi lakini Mlimani ingekuwa ni sehemu ya kuipeleka tu jezi baada ya kuzinduliwa. Hebu tujifunze wenzetu wanavyopangilia mambo yao mfano walizindua jezi za Haier vizuri sana na wakaongeza thamani ya jezi zao kuuzwa 50k na zikaisha. Pia wanapangilia mambo yao very proffesional kutuzidi sisi.

kama hamjui tu, thamani za jezi za Yanga ni kubwa kuliko za zetu na wao ndio wanadetermine ni kiasi gani ziuzwe kwenye market. Now wameweka 35k-40 na zinaisha, na sisi tunapita humo humo, lakini sisi tungejaribu kuanza na hii bei tungechemka.
Topolo umebwanji[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Simba na Yanga kushindana ndio jadi yao,wala sio kukurupuka.
Raha ya vilabu vya michezo ni pamoja na kutafuta utofauti na kuweka rekodi.
Hizi ni klabu za michezo na michezo Ina tabia zake mojawapo ni ushindani .
Waacheni washindane kwenye Kila secta,ndio Raha ya michezo.
simba na yanga sio dini wala madhehebu kwamba yanajiendesha kufuata miongozo ya mwenyezi Mungu.
 
Habari wakuu!

Nimesikia leo toka viongozi wa Simba kuwa wanaenda kuzindua Jessey zao Mlima kilimanjaro!

Well, mpaka sasa sijaona logic behind hii decision zaidi ya kuona ni kukurupuka baada ya kuona Yanga wamezindua Jezi zao Ikulu. Hakuna haja ya kufanya kitu kama hicho kuonyesha mnazindua Jezi mahala ambapo mtaonekana mpo juu ya Yanga. Kulikuwa na ulazima gani wa kufanya hivi.

Tukio zima la Uzinduzi wa Jezi ni kitu muhimu kuonyesha kwa kiasi gani club iko makini katika kupangilia mambo yake na kuongeza value ya jezi husika. Yanga wamefanya waliyofanya baada ya kuona kuna opportunity kutumia presence ya marais wawili.

Binafsi naona kulikuwa na namna bora zaidi ya uzinduzi wa jezi lakini Mlimani ingekuwa ni sehemu ya kuipeleka tu jezi baada ya kuzinduliwa. Hebu tujifunze wenzetu wanavyopangilia mambo yao mfano walizindua jezi za Haier vizuri sana na wakaongeza thamani ya jezi zao kuuzwa 50k na zikaisha. Pia wanapangilia mambo yao very proffesional kutuzidi sisi.

kama hamjui tu, thamani za jezi za Yanga ni kubwa kuliko za zetu na wao ndio wanadetermine ni kiasi gani ziuzwe kwenye market. Now wameweka 35k-40 na zinaisha, na sisi tunapita humo humo, lakini sisi tungejaribu kuanza na hii bei tungechemka.
Makolo wanahaha tu maana Yanga inawapelekea moto Kila Mahalia....na ndio maana wanaogopa kuanzia Kila jambo Ili waone Yanga walivyofanya
 
Yani kwa hili Simba imewanyea watu wanasikilizia harufu tuu na kutema mate...
 
Back
Top Bottom