Viongozi wa Simba tulieni, mnakurupuka sana

Page ya CAF ipi,kama ipo WEKA LINK KUTOKA PAGE YA CAF (ukiipata link kutoka page ya CAF au hata verified account zao za social networks) nafuta account yangu humu JF,kama ipo iweke na mnapotiza mpira msikilizege hata watangazaji wanapo tangaza na kurefer kwenye rekodi.

Kwa MUJIBU WA CAF na kwenye database za CAF hujawahi kugusa hata NUSU ya michuano yotote ile ya CAF.
 
Tumelijadili hili sana tu na binafsi link nilizileta tukalimaliza bwashee. Pia Rais aliwaambia pale Ikulu kwamba mlichofanya siyo kipya nchi hii, mbona hamkumbishia na ubwabwa wake mkabugia?

Unajichoresha tu kwa haya maneno yako.
 
Tumelijadili hili sana tu na binafsi link nilizileta tukalimaliza bwashee. Pia Rais aliwaambia pale Ikulu kwamba mlichofanya siyo kipya nchi hii, mbona hamkumbishia na ubwabwa wake mkabugia?
Leta link kutoka kwenye PAGE ya CAF hapa.

Sasa unabishana na wenye kombe lao,OK mfano rais akisema imefika fainal ya Intercontinental upande wa club, ndio maana yake mmefika?

Wenye kombe lao CAF hawakujui kama ushawahi kufika hata nusu.
Na ndio maana wakaaa.........(soma bango hilo).
 
Duh! Embu niwaache wengine watakujibu maana inaonyesha kama haukuwa mitandaoni kwa kipindi cha miezi 4 iliyopita. Nimeacha tabia ya kuleta ushahidi humu mtu anapodai maana nimeona haisaidii, sanasana utakimbia uzi tu kama wenzako wanavyofanyaja. Wewe unadhani tweet na taarifa inayopatikana kwenye tovuti ya taasisi hiyo hiyo, ipi ni taarifa iliyo na uhakika zaidi?

Kama una nia ya kweli ya kujifunza na umeamua kudharau maarifa unayopewa na wengine, pia kauli ya Rais wa nchi na hata ya Rais wa TFF, ingia mwenyewe tovuti ya CAF angalia rekodi za Simba au waulize wazee hapo mtaani kwako.
 
Wenzangu wakina nani?

Hizi reference zipo CAF na ndio maana kwenye mechi hata watangazaji huwaga wana refer wakati wakitangaza ,hivi unawasikilizaga kweli au unashangilia magoli tu?

Kauli ya rais wa nchi na ya TFF ,sio ya CAF mimi nikitaka history ya michuano INAYO ANDALIWA na CAF nitaenda kwenye website au verified social networks za CAF.
 
Simba kuna watu sijui huwa wanafikiri nini!
Wanatengeneza mijezi ya kiwango duni eti kila mtu anunue.Matokeo yake kuna watu wengi sana wanaopenda vitu quality hawanunui hizi jezi zao.
Kwa hiyo Simba inaonekana ni ya boda boda na waendesha baiskeli wa Shinyanga
 
Sawa mkuu!
 
Kwani wakizindulia huko kuna shida gani? Au wewe ulitaka wazindulie wapi?
 
Topolo umebwanji[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Simba na Yanga kushindana ndio jadi yao,wala sio kukurupuka.
Raha ya vilabu vya michezo ni pamoja na kutafuta utofauti na kuweka rekodi.
Hizi ni klabu za michezo na michezo Ina tabia zake mojawapo ni ushindani .
Waacheni washindane kwenye Kila secta,ndio Raha ya michezo.
simba na yanga sio dini wala madhehebu kwamba yanajiendesha kufuata miongozo ya mwenyezi Mungu.
 
Makolo wanahaha tu maana Yanga inawapelekea moto Kila Mahalia....na ndio maana wanaogopa kuanzia Kila jambo Ili waone Yanga walivyofanya
 
Yani kwa hili Simba imewanyea watu wanasikilizia harufu tuu na kutema mate...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…