Megalodon
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,534
- 7,866
Trump anawakilisha hisia za wamarekani wengi. Hakuna atakaemuua Trump as many believe.
Trump strategy ni kila nchi isimamie resources zake na kuzibadilisha kuwa fedha. Kuacha ujinga na focus na nchi yako.
Kwa nyie ambao mnauza bandari huku hakuna kilichobadilika kwenye operation za bandari zaidi ya blah blah na politics, mnapewa misaada mnaweka kapuni, mnauza ardhi huku mkitegemea bajeti kuja kukamilishwa na wadau, mjiandae… mtakula unga soon .
Moja ya kikao nilichohudhuria Germany hivi Karibuni…. Kilihoji kwanini waafrica hawalipi kodi kwenye nchi zetu lakini tunatenga bajeti za kuwasaidia? Hamuoni tunawafanya hawa watu kuendelea kuwa wapuuzi and lazy ?
Mwingine akahoji… viongozi wengi wa Africa wana akaunti huku Ulaya na America zenye billions of USD…. Kwanini hizo fedha hawahifadhi kwao na ku invest huko huko badala yake wanakuja kuficha huku.?
Mdau mwingine kutoka Canada akasisitiza ni wakati sasa wa ku implement Trump strategy…hasa kwenye eneo la Afya…...kila nchi ijenge nchi yake na sio kuwa ombaomba huku viongozi wa Africa na Tanzania ni Bilionea.
The world is getting serious …. Kama Zelensky amekuwa humiliated ndani ya Oval Office kwa kushindwa kuwa responsible na nchi yake; , nyie viongozi wa Africa wenye little impact hapa duniani zaid ya kuuza mali zenu kwa kupewa pipi, itakuaje?
Toka lini muarabu akawa muwekezaji wa maana? Hana science wala technology yoyote ya maana…,,
Tunaendelea kutoa tahadhari, hadi sasa kwa TZ hakuna kiongozi wa maana mwenye uwezo wa kusimamia mali, at least the Late JPM alikuwa na kitu, haya mavitu mengine ni sukuma twende usiku uingie asubuhi kupambazuke…..,kama hamlioni hili….. soon mtaliona .
Trump Strategy itakuwa adopted na wazungu……. Soon tutaimba wimbo mmoja.
Dr Megalodon,
Rue 52