Bolton aliisha sikitika akamaliza, hapa sidhani kama John Bolton anahitajika. Kwa hili wamuulize hata reporter wa Azam TV anaweza kutoa analysis nzuri tu.Nasubiri kusikia ‘John Bolton’ outtake on what just happened.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bolton aliisha sikitika akamaliza, hapa sidhani kama John Bolton anahitajika. Kwa hili wamuulize hata reporter wa Azam TV anaweza kutoa analysis nzuri tu.Nasubiri kusikia ‘John Bolton’ outtake on what just happened.
Chaos at best
Dah Trump ni tatizo kweli-kweli
Watu waliowahi kushika nafasi za ‘axis of adults’ huko nyuma watakuwa wanakuna vichwa how was that possible.
Surely kabla ya maraisi kukutana wasaidizi wao wanakutana kwanza na kuweka position ya kila nchi katika jambo husika na kufikia muafakq kwanza.
By the time wakuu wa nchi wanakutana kunakuwa na ‘watered down’ version ya misimamo ya nchi ata kama hakuna makubaliano.
How on earth maraisi wanajibizana vile hadharani, only justification it’s chaotic in the White House ni kama hakuna foreign secretary, national security advisor and senior trained aides.
It is bad ndani ya ‘White House’ very bad
Wote hao hawataki kuwasikia yaani trump hawataki establishmentNasubiri kusikia ‘John Bolton’ outtake on what just happened.
Nilisoma mahali kuwa mama yake (na wanawake wengi aliowadhulumu) walimuachia laana!🤣🤣Trump anapenda short-c
Trump anapenda sana short cut kupita maelezo kuna mda unajiuliza alichaguliwaje ni kweli ana mazuri yake lakin ukiweka kwenye mizani mabaya ni mengi sana kuliko mazuri
Hata personal life biashara zake alizoanzisha zimefeli yaani anatembelea nyota ya baba yake mpaka leo lakin yeye hakuna kitu ambacho ni meangful ameongeza kwenye kile baba yake alichomuachia na hii inatokana na ukweli kwamba anapenda sana short-cut
Tatizo democrat wao kama wapinzania wamesusa baada ya kushindwa uchaguziTrump ni Kiongozi wa US ambaye Hana heshima kabisa. Mjadala ule Kati ya Trump na Zelensky ulipaswa ufanyike Behind the Camera. Ameinajisi ikulu ya White House kwa kuvunja miiko na Itifaki zote kabisa za namna ya kuendesha Ikulu.
Mkutano huo ni kama ulilenga mahsusi katika kumdhalilisha Rais Zelensky.
Hii itachagiza sana kuongeza fukuto la upunzani Ndani ya Marekani katika kuupinga Utawala wa Trump
Anatafuta thamani/heshima ambayo hana, iko siku atakufa kwa Pressure akiendelea hivi. Huwezi kutokuwaheshimu watu, ukawa unatumia pesa kama fimbo ya kuwalainisha.Yaani nimefuatilia ile minyukano... Moyo una amani kabisa!
Wiki hii mwanzoni Emmanuel Macron naye alimnyoosha Trump! Kuna mwanamama governor naye alimnyookea Trump!
Trump is a bully! Sasa naelewa waliposema viongozi wengi huwa wanamdharau!
Hoja Yako ilikuwa nzuri, lkn ulipoingiza udini na chuki zako kwa jamii flani wewe na wenzako mlioamua kuichukia basi umeonekana mshamba na lofa tu usiyejua lolote. Hao mabwana zenu mnaowasujudia na mlio tayari kuwapa Bure sehemu zozote za miili yenu wanawakimbilia Kila leo hao mnawachukia kwa ajili ya kufanya biashara. Ni ,ngese mno mtu wa Karne hii asiyejua kuwa sayansi inaenda kule fedha iliko.....asiyejua kuwa Hela ni sayansi!Trump anawakilisha hisia za wamarekani wengi. Hakuna atakaemuua Trump as many believe.
Trump strategy ni kila nchi isimamie resources zake na kuzibadilisha kuwa fedha. Kuacha ujinga na focus na nchi yako.
Kwa nyie ambao mnauza bandari huku hakuna kilichobadilika kwenye operation za bandari zaidi ya blah blah na politics, mnapewa misaada mnaweka kapuni, mnauza ardhi huku mkitegemea bajeti kuja kukamilishwa na wadau, mjiandae… mtakula unga soon .
Moja ya kikao nilichohudhuria Germany hivi Karibuni…. Kilihoji kwanini waafrica hawalipi kodi kwenye nchi zetu lakini tunatenga bajeti za kuwasaidia? Hamuoni tunawafanya hawa watu kuendelea kuwa wapuuzi and lazy ?
Mwingine akahoji… viongozi wengi wa Africa wana akaunti huku Ulaya na America zenye billions of USD…. Kwanini hizo fedha hawahifadhi kwao na ku invest huko huko badala yake wanakuja kuficha huku.?
Mdau mwingine kutoka Canada akasisitiza ni wakati sasa wa ku implement Trump strategy…hasa kwenye eneo la Afya…...kila nchi ijenge nchi yake na sio kuwa ombaomba huku viongozi wa Africa na Tanzania ni Bilionea.
The world is getting serious …. Kama Zelensky amekuwa humiliated ndani ya Oval Office kwa kushindwa kuwa responsible na nchi yake; , nyie viongozi wa Africa wenye little impact hapa duniani zaid ya kuuza mali zenu kwa kupewa pipi, itakuaje?
Toka lini muarabu akawa muwekezaji wa maana? Hana science wala technology yoyote ya maana…,,
Tunaendelea kutoa tahadhari, hadi sasa kwa TZ hakuna kiongozi wa maana mwenye uwezo wa kusimamia mali, at least the Late JPM alikuwa na kitu, haya mavitu mengine ni sukuma twende usiku uingie asubuhi kupambazuke…..,kama hamlioni hili….. soon mtaliona .
Trump Strategy itakuwa adopted na wazungu……. Soon tutaimba wimbo mmoja.
Dr Megalodon,
Rue 52
Wacha akate, anunue Burger pesa zake.Ni wakati wa kila nchi kupambana kivyake sasa. Sijui kama Afrika tuko tayari. JPM angalau alikuwa anapiga makelele kuhusu raslimali zetu na haja yetu ya kujitegemea.
Huku ni kupatwa kwa Waafrika!
View attachment 3254089
Chaos at best
Dah Trump ni tatizo kweli-kweli
Watu waliowahi kushika nafasi za ‘axis of adults’ huko nyuma watakuwa wanakuna vichwa how was that possible.
Surely kabla ya maraisi kukutana wasaidizi wao wanakutana kwanza na kuweka position ya kila nchi katika jambo husika na kufikia muafakq kwanza.
By the time wakuu wa nchi wanakutana kunakuwa na ‘watered down’ version ya misimamo ya nchi ata kama hakuna makubaliano.
How on earth maraisi wanajibizana vile hadharani, only justification it’s chaotic in the White House ni kama hakuna foreign secretary, national security advisor and senior trained aides.
It is bad ndani ya ‘White House’ very bad
Trump anaifanya marekani kuwa nchi ya kawaida na sio superpower tena na hii itaishusha marekani kwenye mambo mengiNilisoma mahali kuwa mama yake (na wanawake wengi aliowadhulumu) walimuachia laana!🤣🤣
Nikiobacho soon Mission ya Russia itakamilika! Marekani itaondoshwa kwenye nafasi yake duniani!
Nilisoma mahali kuwa mama yake (na wanawake wengi aliowadhulumu) walimuachia laana!🤣🤣
Nikiobacho soon Mission ya Russia itakamilika! Marekani itaondoshwa kwenye nafasi yake duniani!
Tuambie marafiki zako tukwambie ilivyo!Wote hao hawataki kuwasikia yaani trump hawataki establishment
Trump anataka kuzungukwa na watu kama jd vance, elon musk, michael rubio ambao hawana experience yeyote ile ya nchi yao na dunia kwa ujumla
Kuna mambo musk anaongea sio mmarekani lakin unasikitika sana kuna mambo mengi sana kwenye siasa hayajui na ndo watu wa karibu wa trump
Kila Raisi anaeenda kuonana na trump kwa sasa anapangiwa miadi na psychologist wake aampe mbili tatu za kukabiliana trump mindset......Chaos at best
Dah Trump ni tatizo kweli-kweli
Watu waliowahi kushika nafasi za ‘axis of adults’ huko nyuma watakuwa wanakuna vichwa how was that possible.
Surely kabla ya maraisi kukutana wasaidizi wao wanakutana kwanza na kuweka position ya kila nchi katika jambo husika na kufikia muafakq kwanza.
By the time wakuu wa nchi wanakutana kunakuwa na ‘watered down’ version ya misimamo ya nchi ata kama hakuna makubaliano.
How on earth maraisi wanajibizana vile hadharani, only justification it’s chaotic in the White House ni kama hakuna foreign secretary, national security advisor and senior trained aides.
It is bad ndani ya ‘White House’ very bad
Trump na samia amenifundisha unaweza ukawa mtu mwenye upeo mdogo sana alafu ukafanikiwa sana au ukashika nafasi kubwaTuambie marafiki zako tukwambie ilivyo!
Trump mwenyewe hajui politics.
Sasa mbele ya media kwenye bilateral and diplomatic negotiations zilizokorogeka kama zile kwanini alimtukana Joe Biden? Why alim-attack Obama?
Umeongea kitu muhimu sana. Very futuristic! Very predictive!Anatafuta thamani/heshima ambayo hana, iko siku atakufa kwa Pressure akiendelea hivi. Huwezi kutokuwaheshimu watu, ukawa unatumia pesa kama fimbo ya kuwalainisha.
Kuna watu hawajali kuhusu pesa yako.
Angeonyesha hata heshima kwamba huyo naye ni rais, lakini anataka kumdogosha kijinga kabisa.
Kwanza kulikuwa na haja gani kuweka maongezi yao live, au ndio walikuwa wamejiandaa kumkaanga, akaruka kutoka kwenye kikaangio.
Trump ni kama anavuta bangiKila Raisi anaeenda kuonana na trump kwa sasa anapangiwa miadi na psychologist wake aampe mbili tatu za kukabiliana trump mindset......
Na hasa kwenye uongozi... Unaweza kuokota dodo chini ya mnazi!Trump na samia amenifundisha unaweza ukawa mtu mwenye upeo mdogo sana alafu ukafanikiwa sana au ukashika nafasi kubwa
Nimeamini kwenye maisha sio lazima uwe smart ili ufanikiwe unaweza ukawa deluded kama trump na bado ukafika level za juu sana
Link ya mazungumzo naipataje wadauDaktari wahimize viongozi wako wajikite kutetea nchi zao! Wahimize kuwatetea wananchi wao.
Zelensky amenikosha sana. Hakuwa muoga wala mnyonge! Trump ni mouthpiece ya Putin. Putin ndo yule yule mtesi wa Ukrainians!
Pili, tungekuwa na akili na umoja Africa tungeshikamana kukabiliana na nchi zilizoendelea hasa za Ulaya, Amerika na Asia! Hizo nchi zilitunyonya sana na hivyo zinapaswa kulipwa fidia na si misaada!
Mwisho, Zelensky ameonesha njia ya kusimamia negotiations za kimataifa kwa kutanguliza maslahi ya taifa!
Naomba link yao mkuuYaani nimefuatilia ile minyukano... Moyo una amani kabisa!
Wiki hii mwanzoni Emmanuel Macron naye alimnyoosha Trump! Kuna mwanamama governor naye alimnyookea Trump!
Trump is a bully! Sasa naelewa waliposema viongozi wengi huwa wanamdharau!
Nafikiria namna alivyoongelea kwenye kitabu chake changamoto za ku water down maswala ambayo Trump alikuwa anataka kuyaongea na viongozi wenzake.Bolton aliisha sikitika akamaliza, hapa sidhani kama John Bolton anahitajika. Kwa hili wamuulize hata reporter wa Azam TV anaweza kutoa analysis nzuri tu.