Trump ni tatizo kweli-kweli
Zelensky ameonesha kufahamu utawala wa Trump unamaanisha nini, na alijitayarisha kwa ripoti alizopewa na vyombo vyake vya kidiplomasia na kijasusi nini konaweza kutokea ndiyo maana hakuonesha kushangaa kilichotokea na Zelensky na timu ya wasaidizi wao walisha otea na kujipanga
Swali kuu kwa nchi masikini za kiafrika ikiwemo Tanzania, je wamejitayarisha kwa sera ya MAGA America First kuwa hakuna misaada bila masharti mazito?
ZELENSKY. Kumbe kajeuri😄
Bado watawala wa CCM wakienda White House sijui kama watakuwa wameotea nini watakikuta, au itakuwa surprise kwa viongozi wa CCM na vyombi vyao vya Dola kama mabalozi na usalama wa Taifa kitego cha nje kuwa na taarifa kabla ili waweze kuwa na ubavu kama wa Zelensky kutoka na weledi wa mabalozi wake ktk ujasusi wa kidiplomasia na usalama wa taifa kitengo cha intelejensia ya nje ili wasikurupushwe White House..
JUKUMU LA USALAMA WA TAIFA KITENGO CHA UJASUSI WA NJE
Ujasusi Blog
www.ujasusi.com
Intelligence insights on series of leadership changes at Tanzania's ...
13 Jul 2024 — The appointment of Selemani Mombo as the new TISS Director General could have significant impacts on Tanzania's security and intelligence
JUKUMU LA WIZARA YA MAMBO YA NJE :
Waziri wa Mambo ya Nje Mahmoud Kombo, wakurugenzi wizarani, mabalozi uwezo wa kukusanya taarifa za maoteo ili Tanzania isijikute inapata surprise kubwa kutoka kwa washirika wake
View: https://m.youtube.com/watch?v=ZJJtJslaC_4