Trump anawakilisha hisia za wamarekani wengi. Hakuna atakaemuua Trump as many believe.
Trump strategy ni kila nchi isimamie resources zake na kuzibadilisha kuwa fedha. Kuacha ujinga na focus na nchi yako.
Kwa nyie ambao mnauza bandari huku hakuna kilichobadilika kwenye operation za bandari zaidi ya blah blah na politics, mnapewa misaada mnaweka kapuni, mnauza ardhi huku mkitegemea bajeti kuja kukamilishwa na wadau, mjiandae… mtakula unga soon .
Moja ya kikao nilichohudhuria Germany hivi Karibuni…. Kilihoji kwanini waafrica hawalipi kodi kwenye nchi zetu lakini tunatenga bajeti za kuwasaidia? Hamuoni tunawafanya hawa watu kuendelea kuwa wapuuzi and lazy ?
Mwingine akahoji… viongozi wengi wa Africa wana akaunti huku Ulaya na America zenye billions of USD…. Kwanini hizo fedha hawahifadhi kwao na ku invest huko huko badala yake wanakuja kuficha huku.?
Mdau mwingine kutoka Canada akasisitiza ni wakati sasa wa ku implement Trump strategy…hasa kwenye eneo la Afya…...kila nchi ijenge nchi yake na sio kuwa ombaomba huku viongozi wa Africa na Tanzania ni Bilionea.
The world is getting serious …. Kama Zelensky amekuwa humiliated ndani ya Oval Office kwa kushindwa kuwa responsible na nchi yake; , nyie viongozi wa Africa wenye little impact hapa duniani zaid ya kuuza mali zenu kwa kupewa pipi, itakuaje?
Toka lini muarabu akawa muwekezaji wa maana? Hana science wala technology yoyote ya maana…,,
Tunaendelea kutoa tahadhari, hadi sasa kwa TZ hakuna kiongozi wa maana mwenye uwezo wa kusimamia mali, at least the Late JPM alikuwa na kitu, haya mavitu mengine ni sukuma twende usiku uingie asubuhi kupambazuke…..,kama hamlioni hili….. soon mtaliona .
Trump Strategy itakuwa adopted na wazungu……. Soon tutaimba wimbo mmoja.
Dr Megalodon,
Rue 52
Hizi hoja na hitimisho ya jumla jumla hayatoweza kuondoa tatizo la wananchi wa tz.
Kwanza tuelewe tatizo la nchi si chama. Bali tatizo ni watendaji waandamizi na watumishi ktk kada zetu.
Na chanzo cha tatizo hilo wa watendaji wa serikali ni ubaguzi. Kumekuwa na tabala moja ya watendaji tokea uhuru.
Kuondoa tatizo hilo kuna haja kwa watz kuunganisha fikra na kupiga vila mfumo wa serikali kuu. Na tuiunge mkono chama kitachopigania kurejesha madaraka Katani kwa kuunda utawa wa serikali za kata zenye uhuru zaidi wa kujiamulia mambo yake wenyewe. Na mamlaka ya juu kabisa iwe kanda. Kwa maana kama kanda ina mradi wa kimkakati kama makala ya mawe. Pesa ya pato hilo niishie kwenye kanda. Bali nafasi za uwakilishi wa kitaisha unawapwa kuishi kazi kuwa watayobaki nayo ni kusimami mfumo huu umpa unaratibiwa ktl kila kanda kwa ufanisi.
Maana ya serikali ya KATA zenye uhuru zaidi wa kujiamulia mambo Yao wenye ina maana pato na ushuru kodi zote linalokusanywa na tza makao makuu sasa zikusanywe na vingi wa kata ktk mfumo huu. Na matumizi yake wafanywe na viongozi na kata.
Nimechunguza na kubaini idadi ya mzunguko wa biashara unaofanya watosha kuwapikia watoto chakula mashuleni.wagonjwa mahospitalini. Kuwalipa mishahara madakta na wabaguzi
Fikiria kata yako yenye wakazi 5000. Iwapo kila bidhaa vinavyouzwa inakatwa 18%
Na nusu ya wakazi wawe ananunua bidhaa walau kwa 2,000 kwa siku. Hii ina maana kwa mwezi huku kukusanya sh 30mil.
Tutashindwaji kuleta ustawi kama nchi na kwa wananchi
Uzuri ni kwamba aina hii ya mfumo wa utawala unaotoa uhuru zaidi kwa kanda tuna mfano wa serikali ya znz.
1. Ukubwa wa unaoitwa mkoa kule znz ni sawa na eneo la mtaa huku Danganyika. Lkn kubwa zaidi rais wa nchi anakuwa hana mamlaka ya kuuza rasilimali za eneo lolote la nchi. Kama ilivyo kwasasa kwa rais wa JMT kutoweza kuuza rasilimilali yyt ya znz.
Na kwamba hizi kelele za wanaCHADEMA ambao hata hawajui wanachopigania kinapingana na katiba yao zitakwisha. Kwa hawa watu kutoka miji ya wakulima na wafugaji hawatokuwa na haki ya kupigania bandari ambao wengine hata hawajawahi kuiona badala yake wanapaswa kupigania pamba zao, mipunga yao, madini yao, maparachichi yao na kwamba rasimiliami za kila kanda zinapaswa kupiganiwa na tabaka la walio wengi ktk kanda husika