Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
USA can have all the cards in a battlefield and still lose the war.You don't have a Card? If you're with us you have a Card and if you're not with us you don't have a Card. You want World War 3? You don't have a Card.
-Trump
Ahaaaaaaaaaa! Trump? Unafikiri angependa nchi zisimamie resource zake? Si angempatia Zelensky ulinzi bila kuwalazimisha Ukraine wabadilishane ulinzi kwa madini? Embu fikiri vizuri hapa.Trump strategy ni kila nchi isimamie resources zake na kuzibadilisha kuwa fedha. Kuacha ujinga na focus na nchi yako.
Watanzania wanakatwa makodi. Rais na Familia yake wanapigwa na kiyoyozi ikulu then baadae wanasema tunashukuru Rais kwa kutujengea choo,utadhan hizo hela alipewa na wazaz wake awape watanzania wajenge choo.Mkuu Megalodon, umetoa ushauri mzuri sana ambao Viongozi wetu wakiusikia na kuufanyia kazi, bila shaka tutatoka hapa tulipo na kupiga hatua mbele kuyafikia maendeleo makubwa tunayoyatarajia!
Fact.Zelensky amenikosha sana... Hivi huyu wa kwetu anaweza kututetea?
Mwl. Nyerere, Mkapa wangeweza!
Lakini unapaswa ukumbuke kwamba Wanajeshi Wapiganaji wengi sana kutoka nchi za Ulaya wamekufa Vitani katika kutetea Maslahi ya Marekani kwenye Vita ambazo nchi hiyo ya Marekani imepigana katika nchi za nje kama vile Afghanistan, Iraq, Libya, n.k, n.k.Mimi nawashangaa tu hao wa Ulaya. Kwa nini wasiachane tu na Trump na Marekani yake?
Wanavyong’ang’ania kupigwa tafu na US wanaonyesha ni jinsi gani walivyo weak.
Ingekuwa ni juu yangu ningeachana kabisa na Trump pamoja na US. Potelea mbali….hata kama nikiangamizwa kabisa na Putin.
Mimi Siwezi kudhalilika/ kudhalilishwa namna hiyo aisee.
Uomba omba ni mbaya sana.
Hey bro,Kuna kahaba ana amini ana wajomba Omani watakao mjengea nchi na kumpatia maji ya zamzam 😁😁😁😁
Watch your mouth.Kuna kahaba ana amini ana wajomba Omani watakao mjengea nchi na kumpatia maji ya zamzam 😁😁😁😁
Shekheee lazima mqji ya zamzam tuyanywe tuWatch your mouth.
Zelensky ni mtu mweupe na watu weupe sio wajinga kama waafrika
Mwafrika alikuwa ni mda sana kaachia rasilimali
acha mfokewe!mnaombaomba sanaa!lzm mfokewe!ndo maana #CHUMAJPM# huu ujinga alikua hautakiNafikiri wao wanachotaka ni utukufu, wanamuona Zelensky kama Mkuu wa Wilaya fulani hivi, wanasahau naye ni Rais wa taifa jingine ambalo wao haliwahusu, eti kwa kigezo cha msaada sasa walitaka awe mjinga a bend kwao.
Labda hawakujua kama Ukraine ni taifa, au ahawakujua kwamba yule naye ni Rais.
Halafu Makamu wa rais naye anatapika nyongo anamfokea rais wa taifa jingine, ule ni ujinga uliopitiliza.
Sijui hao watu wameokotwa wapi, na sijui waliowachagua wanajisikiaje wakiona waliyemchagua ana behave kitoto na kijinga hivyo.
Kwa hiyo hata mwenyezi mungu subahana watara akimwita mama yako kuwa ni kahaba utasema mwenyezi mungu kumtukana? Mwizi kuitwa mwizi ndiyo sifa yake ya kweli siyo tusi vivyo hivyo kwa kahaba mzinzi mchawi fisadi tapeli nk ...tumia akili achakutumia kijambio cha sa100 bushiri kufikili use your brainHey bro,
Kuwa na heshima kidogo kwa Mh. Rais huyu ni kiongozi wetu mkuu wa nchi ikiwa unamkubali ama la.
Suala la kukosoa ni haki yako lakini sio matusi.
Naomba kumtetea: hakuna alipotaja Rais; wewe ndio umemtqja Rais na umefanya Makosa kuhusisha ilo neno na Rais .Hey bro,
Kuwa na heshima kidogo kwa Mh. Rais huyu ni kiongozi wetu mkuu wa nchi ikiwa unamkubali ama la.
Suala la kukosoa ni haki yako lakini sio matusi.
Haya soma hiyo Comment yake hapo juu then rudi hapa na utetezi wako.Naomba kumtetea: hakuna alipotaja Rais; wewe ndio umemtqja Rais na umefanya Makosa kuhusisha ilo neno na Rais .
Umefanya negative suggestion , bad !
Kwanini unawaza kubinya….. do you think inasaidia. Simamieni nchi vyema. Hilter also had a vision of a new GermanyHaya soma hiyo Comment yake hapo juu then rudi hapa na utetezi wako.
Yani mtu anafikia hatua ya kumtukana kiongozi mkuu wa nchi unaleta utetezi usio na mantiki.
Vijana punguzeni mihemko hivi watu kama nyie mkibinywa vijambio nani wakulaumiwa?
Tunafanana mtazamo kiufu urais nakiona kitu cha kawaida sana hata kingwendu na juma Lokole wanaweza kuongoza nchi ni kitu cha kawaida mnoMimi samia nilishaacha kumsikiliza mda sana ukiniambia ni mara ya mwisho ni lini nimeshikiliza hotuba yake sikumbuki ni mtu amenifanya nione maisha ni jambo la ajabu sana na amenifanya hata nafasi ya urais nimeichukulia ya kawaida sana mimi mtu kuwa rais anawezi niogopesha kama ilivyokuwa kipindi cha nyuma
Hakuna kiongozi Duniani anavumilia Matusi na kejeli,Kwanini unawaza kubinya….. do you think inasaidia. Simamieni nchi vyema. Hilter also had a vision of a new Germany
JPM also had a vision of a new Tanzania, aliumiza sana watu , aliua sana watu kama anavofanya Samia sasa…. Je …. Ili saidia, ilinyamazisha watu ? So watu lazima waongeee what they believe …. Stop being delusional na uache ujinga….
CCM has ruined the country for many years …. Na wamefikiq LIMIT na the next step ni wanauza mali za nchi huo ndio uwezo wao umeishia hapo.
Humtishia mtu yoyote na mambo ya kubinywa na angalia usije kubinywa wewe. Acha upumbavu, caint
Kwa hiyo Marekani haijawahi kupoteza wanajeshi wake katika vita za Ulaya ambapo Marekani ilishiriki katika kukomboa Ulaya?Lakini unapaswa ukumbuke kwamba Wanajeshi Wapiganaji wengi sana kutoka nchi za Ulaya wamekufa Vitani katika kutetea Maslahi ya Marekani kwenye Vita ambazo nchi hiyo ya Marekani imepigana katika nchi za nje kama vile Afghanistan, Iraq, Libya, n.k, n.k.
Washirika wake hao walikuwa wanatoa msaada wao wa Wanajeshi Wapiganaji ili kwenda vitani kupigana bega kwa bega wakishirikiana na Wanajeshi wa Marekani.