Viongozi wa Tanzania, endeleeni kucheza kamari na mali zenu, ya Zelensky hayapo mbali

Viongozi wa Tanzania, endeleeni kucheza kamari na mali zenu, ya Zelensky hayapo mbali

Kwa ufupi ni kuwa Marekani imejiaibisha mengi iliyofanya kwa miaka 250 ya Uhuru yamefutika ndani ya siku 30 za Trump
 
Anatafuta thamani/heshima ambayo hana, iko siku atakufa kwa Pressure akiendelea hivi. Huwezi kutokuwaheshimu watu, ukawa unatumia pesa kama fimbo ya kuwalainisha.

Kuna watu hawajali kuhusu pesa yako.

Angeonyesha hata heshima kwamba huyo naye ni rais, lakini anataka kumdogosha kijinga kabisa.

Kwanza kulikuwa na haja gani kuweka maongezi yao live, au ndio walikuwa wamejiandaa kumkaanga, akaruka kutoka kwenye kikaangio.
Mbinu aliyotumia Trump siyo nzuri kabisa ingawa yeye analaumu kwamba Zelensky kuidharau Whitehouse.
 
Inaweza kuwa Zelensky akushanga, ila dunia imeshangzwa. Not so much kuhusu kukubaliana au la.

Mshangao ni vile namna viongozi wa nchi kuongea kama ilivyotokea mbeke ya camera za dunia.

View: https://m.youtube.com/watch?v=au-IVW4M0Oo

View: https://m.youtube.com/watch?v=90mPmZ_VuGk

Tafuta media yeyote duniani ambayo mchambuzi mgeni ni senior civil servants, active or retired ambae ajashangazwa na kilichotokea. That’s not diplomacy

Zelensky amekataa kuwa mateka, ni vizuri nchi masikini za kiafrika zitilie maanani nyakati hizi kila mtu na lwakwe hakuna mjomba.

Juzi rais Emmanuel Macron wa France alisema maneno na kauli hizi hizi, nchi za ulaya EU nao wanapunguza misaada ili fedha hizo kujilinda waachane na mbeleko ya msaada wa ulinzi kutoka Marekani.

Nchi za kiafrika jitegemeeni Marekani, Ufaransa n.k zimeanza kujiangalia wao wenyewe kwanza na kukata misaada

View: https://m.youtube.com/shorts/bPOdnOO4E7g

24 February 2025

WATCH: Macron corrects Trump after he says European support for Ukraine was a loan

View: https://m.youtube.com/shorts/YhRl6GOSVo0

French President Emmanuel Macron corrected U.S. President Donald Trump Monday on the extent of European support for Ukraine as the two leaders met at the White House, three years after Russia invaded Ukraine.While the two leaders spoke with reporters in the Oval Office, Macron interrupted Trump as he claimed "Europe is loaning the money to Ukraine. They’re getting their money back."Macron interjected, saying, ā€œNo, in fact, to be frank, we paid 60 percent of the total effort. It was through, like the U.S.: loans, guarantees, grants. We provided real money, to be clear.ā€The moment comes after Trump shocked Europe leaders by holding high-level talks about ending the war in Ukraine with Russian officials, without any Ukrainian or European officials present.
 
Acha mikopo isitishwe ili viongozi wa Africa waanze kutumia akili zao na rasilimali kujenga nchi.

Mikopo imekuwa ikiishia mifukoni mwa majizi wachache na matumizi mengine yasiyokusudiwa kwa viongizi wa kiafrika.
 
24 February 2025
White House
Marekani

MACRON AMKATIZA TRUMP, NA KUFAFANUA JAMBO NYETI

View: https://m.youtube.com/watch?v=IWZU4zrOoLE

ANGALIA: Macron amrekebisha Trump baada ya kusema uungaji mkono wa Ulaya kwa Ukraine ulikuwa mkopo

Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron amemsahihisha Rais wa Marekani Donald Trump Jumatatu kuhusu kiwango cha uungaji mkono wa Ulaya kwa Ukraine wakati viongozi hao wawili walipokutana katika Ikulu ya White House, miaka mitatu baada ya Urusi kuivamia Ukraine.

Wakati viongozi hao wawili wakizungumza na waandishi wa habari katika Ofisi ya Oval, Macron alimkatiza Trump alipodai "Ulaya inaikopesha Ukraine pesa hizo.
Wanarudishiwa pesa zao."

Macron aliingilia kati kauli hiyo ya,Trump , akisema, "Hapana, kwa kweli, kusema ukweli, tulilipa asilimia 60 katika kuunga mkono juhudi zote. Ilikuwa kupitia, kama Marekani: mikopo, dhamana, ruzuku. Tulitoa pesa halisi, hivyo kuwa wazi hizi ni fedha halisi zilizokuwa zimeshikiliwa benki za Russia kufuatia vikwazo (frozen) tukawapatia Ukraine tofauti na Marekani waliotoa mkopo.

Hayo yamejiri baada ya Trump kuwashtua viongozi wa Ulaya kwa kufanya mazungumzo ya moja kwa moja na maofisa wa Russia, kuhusu kumaliza vita nchini Ukraine , bila ya maafisa wa Ukraine au Ulaya kuwepo.

Source : PBS News
 
Yaani pale Marekani wamechaguliwa wahuni... Nadhani leo walikosa busara za "Rais wao" Elon Musk! Labda angekuwepo hali ingekuwa tofauti.

Kingine na hiki ni muhimu sana: Nimemkubali zaidi Zelensky! Amejua jinsi ya kukabiliana na Trump na kuonesha dhahiri malengo ya utawala wa Trump!
Hakujali yupo Oval Office live kwenye media!
Hakuwa muoga!
Hakuiuza nchi yake kwa vipande vya fedha!

Kafuata njia ile ile ya Emmanuel Macron!
Trump akizingua. Mzingue
Huoni ni bora kusitisha vita, maana kuendelea navyo ni hasara kwa Ukrain, maana ni vigumu kumshinda Putin hata Super power kaliona hilo.
 
Maraisi nao ni binadamu wana hisia za hasira vilevile.

Hakuna cha ajabu hapo.

Tatizo cheo cha "Uraisi" mmekipa utukufu sana.

Cheki rais Zelensky wa Ukraine, Rais Emmanuel Macron wa France wanavyo fanya mazungumzo ya wazi bila kupepesa macho au kigugumizi wakiwa Ikulu ya Marekani

Marais wa Afrika mambo wanayowaambia raia wao waweze pia kuwaambia mabeberu wanaotuburuza

View: https://m.youtube.com/shorts/9KsgdJJYw-4
 
Trump anawakilisha hisia za wamarekani wengi. Hakuna atakaemuua Trump as many believe.

Trump strategy ni kila nchi isimamie resources zake na kuzibadilisha kuwa fedha. Kuacha ujinga na focus na nchi yako.

Kwa nyie ambao mnauza bandari huku hakuna kilichobadilika kwenye operation za bandari zaidi ya blah blah na politics, mnapewa misaada mnaweka kapuni, mnauza ardhi huku mkitegemea bajeti kuja kukamilishwa na wadau, mjiandae… mtakula unga soon .

Moja ya kikao nilichohudhuria Germany hivi Karibuni…. Kilihoji kwanini waafrica hawalipi kodi kwenye nchi zetu lakini tunatenga bajeti za kuwasaidia? Hamuoni tunawafanya hawa watu kuendelea kuwa wapuuzi and lazy ?

Mwingine akahoji… viongozi wengi wa Africa wana akaunti huku Ulaya na America zenye billions of USD…. Kwanini hizo fedha hawahifadhi kwao na ku invest huko huko badala yake wanakuja kuficha huku.?

Mdau mwingine kutoka Canada akasisitiza ni wakati sasa wa ku implement Trump strategy…hasa kwenye eneo la Afya…...kila nchi ijenge nchi yake na sio kuwa ombaomba huku viongozi wa Africa na Tanzania ni Bilionea.

The world is getting serious …. Kama Zelensky amekuwa humiliated ndani ya Oval Office kwa kushindwa kuwa responsible na nchi yake; , nyie viongozi wa Africa wenye little impact hapa duniani zaid ya kuuza mali zenu kwa kupewa pipi, itakuaje?

Toka lini muarabu akawa muwekezaji wa maana? Hana science wala technology yoyote ya maana…,,

Tunaendelea kutoa tahadhari, hadi sasa kwa TZ hakuna kiongozi wa maana mwenye uwezo wa kusimamia mali, at least the Late JPM alikuwa na kitu, haya mavitu mengine ni sukuma twende usiku uingie asubuhi kupambazuke…..,kama hamlioni hili….. soon mtaliona .

Trump Strategy itakuwa adopted na wazungu……. Soon tutaimba wimbo mmoja.

Dr Megalodon,
Rue 52
Dk. Halafu anachanganya madesa kati ya uwekezaji na majadiliano ya kisheria na uhuni wa mabeberu dhidi ya Stupid President (Kwa sauti ya Trump akimwita Zelenskyy). Zelenskyy kapewa msaada wa kijeshi na fedha na babu Biden bila majadiliano wala mikataba. Trump kaingia kampa invoice ya dola bilioni 500!

Sasa hapo mikataba yetu ya kisheria na majadiliano inaingiaje? Tuheshimu nchi yetu na zetu za Afrika. Case ya Zelenskyy anaijua mwenyewe. Hata hao EU kila mtu anatafuta kitalu chake akachimbe madini. Mfaransa kafukuzwa Afrika anakimbilia Ukraine. Uingereza na Ujerumani uchumi wao hoi. Yote kwa yote Trump yuko sahihi, Zelenskyy alitaka kuitumbukiza dunia ktk vita ya tatu.
 
Mikataba ya listeria aiseeee …..
 
Trump na samia amenifundisha unaweza ukawa mtu mwenye upeo mdogo sana alafu ukafanikiwa sana au ukashika nafasi kubwa

Nimeamini kwenye maisha sio lazima uwe smart ili ufanikiwe unaweza ukawa deluded kama trump na bado ukafika level za juu sana
Hapa ni kwel kwa kiac chake
 
Ngoja tuone, wakikutana uso kwa uso Oval Office White House kama wanaweza kuwa na ubavu wa kusema hii ni nyeusi na siyo nyeupe kama Zelensky wa Ukraine au Emnanuel Macron wa France :

RAIS SAMIA AIJIBU MAREKANI: "HATUKO HAPA KUELEKEZWA NINI CHA KUFANYA"​

View: https://m.youtube.com/shorts/dSAYtPSoQ8U

1740830849870.jpeg

1740830905184.jpeg
 
Ni viongozi wa CHADEMA tu kama wangekuwa Ikulu wangeweza kuongea na wadau wa maendeleo bila kupepesa macho, maana hata nafasi zao walizipata kupitia midahalo na kura za mkutano mkuu na siyo kwa fomu moja iliyotupiliwa mbali ikatoweka au kupindisha katiba ya chama
1740831189128.jpeg

1740831293616.jpeg
 
Viongozi wa kiafrika hawana ubavu wa kumvimbia mzungu,Ukraine wanachofanyiwa na Putin siyo cha kiungwana kabisa,lakini hakuna hata kiongozi mmoja wa kiafrika aliyethubutu kumukemea Putin wanajifanya hawajaegemea upande wowote wakati machungu wanayopata Ukraine na wao wanayapata kwa uchumi kudorola.

Uwapeleke kwenye kupinduana na kubadilisha katiba watawale kwa maisha yao yote pamoja na familia zao hicho dicho wanachoweza,Leo kafukuzwa kesho anarudishwa kwa mama.
 
Kuna kahaba ana amini ana wajomba Omani watakao mjengea nchi na kumpatia maji ya zamzam 😁😁😁😁
ID fake isikupe kiburi , usibeti life yako kipuuzi mkuu #Jichunge
 
Chaos at best

Dah Trump ni tatizo kweli-kweli

Watu waliowahi kushika nafasi za ā€˜axis of adults’ huko nyuma watakuwa wanakuna vichwa how was that possible.

Surely kabla ya maraisi kukutana wasaidizi wao wanakutana kwanza na kuweka position ya kila nchi katika jambo husika na kufikia muafakq kwanza.

By the time wakuu wa nchi wanakutana kunakuwa na ā€˜watered down’ version ya misimamo ya nchi ata kama hakuna makubaliano.

How on earth maraisi wanajibizana vile hadharani, only justification it’s chaotic in the White House ni kama hakuna foreign secretary, national security advisor and senior trained aides.

It is bad ndani ya ā€˜White House’ very bad
Marekani imekuwa kama Choo.
Ni aibu kubwa sana
 
Trump anawakilisha hisia za wamarekani wengi. Hakuna atakaemuua Trump as many believe.

Trump strategy ni kila nchi isimamie resources zake na kuzibadilisha kuwa fedha. Kuacha ujinga na focus na nchi yako.

Kwa nyie ambao mnauza bandari huku hakuna kilichobadilika kwenye operation za bandari zaidi ya blah blah na politics, mnapewa misaada mnaweka kapuni, mnauza ardhi huku mkitegemea bajeti kuja kukamilishwa na wadau, mjiandae… mtakula unga soon .

Moja ya kikao nilichohudhuria Germany hivi Karibuni…. Kilihoji kwanini waafrica hawalipi kodi kwenye nchi zetu lakini tunatenga bajeti za kuwasaidia? Hamuoni tunawafanya hawa watu kuendelea kuwa wapuuzi and lazy ?

Mwingine akahoji… viongozi wengi wa Africa wana akaunti huku Ulaya na America zenye billions of USD…. Kwanini hizo fedha hawahifadhi kwao na ku invest huko huko badala yake wanakuja kuficha huku.?

Mdau mwingine kutoka Canada akasisitiza ni wakati sasa wa ku implement Trump strategy…hasa kwenye eneo la Afya…...kila nchi ijenge nchi yake na sio kuwa ombaomba huku viongozi wa Africa na Tanzania ni Bilionea.

The world is getting serious …. Kama Zelensky amekuwa humiliated ndani ya Oval Office kwa kushindwa kuwa responsible na nchi yake; , nyie viongozi wa Africa wenye little impact hapa duniani zaid ya kuuza mali zenu kwa kupewa pipi, itakuaje?

Toka lini muarabu akawa muwekezaji wa maana? Hana science wala technology yoyote ya maana…,,

Tunaendelea kutoa tahadhari, hadi sasa kwa TZ hakuna kiongozi wa maana mwenye uwezo wa kusimamia mali, at least the Late JPM alikuwa na kitu, haya mavitu mengine ni sukuma twende usiku uingie asubuhi kupambazuke…..,kama hamlioni hili….. soon mtaliona .

Trump Strategy itakuwa adopted na wazungu……. Soon tutaimba wimbo mmoja.

Dr Megalodon,
Rue 52
Hakuna anaeuza Mali zake Wala Bandari zake na pia hakuna Mwafrika anaetegemea mzungu acha kuwa mjinga.

Mwisho kwani Kwa wewe kumilika Mashamba rundo na huna uwezo wa kuyafanya yakuletee pesa inakusaisia nini zaidi ya kudumisha ufukara?

Huwezi endelea Kwa kuwakimbia walioendelea ukawafuata mbulula wenzako.
 
Back
Top Bottom