Mtu Alie Nyikani
JF-Expert Member
- Nov 9, 2022
- 949
- 2,038
Hujui kitu. Ni ujuaji tu unakusumbua 🚮 kwamba wewe unamfaham sana😄I don't know why Kiongozi mwenye misimamo na maamzi huwa anaonekana ni mbaya , maybe ulikua mnufaika wa utawala wa Shoga Biden ndiyo maana unalia hapa Kwa sabab ya mirija imekatwa, anyway mm kumfaham siyo shida, but naona sera zake na mabadiliko hilo linatosha kujua ni mtu wa aina gani!! Trump ni aina ya Rais ambaye nilitamani nchi zote ziwe naye.Kama wewe upo huko uliko hujui kama hujui unafikiri wengine nao hawajui kama hawajui!
Sijui hata kama huyo Donald Trump Jr. unamfahamu vizuri... Nakushauri acha uvivu. Go do your proper homework!
How can you dare to do an economic revolution to your country ukiwa na kiasi hicho cha fantasy, uvivu na ujinga?
Ni lazima tujue namna ya kutumia Rasilimali zetu na siyo kwenda kulia kwao huko watupe msaada mwishoe kupitia hiyo misaada inatugharimu kusain mikataba migum ya kuuza Rasilimali zetu, na hicho ndicho kilicho mkuta huyo mchekeshaji wenu.
NB: Kama wewe ni mtu wa upinde huwezi kumkubali Trump.