Mtanyooka na baado, huyo Zelensky ni mpumbavu sana, Russia alimfuata amalize vita kwa mazungumzo ila kwa sababu ya kiburi ya mashoga Biden akijitia nunda Sasa mambo yamekua magumu analia, atulie hivyo hivyo.
Trump yuko sahihi anachotetea ni haki ya walipa Kodi wa Marekani Hakuna Cha mtu kinacho enda bure katka ulimwengu huu. Zelensky alisaidiwa silaha akapambana na vita na mpaka saivi. Then anagoma kulipa fadhira? Tumuoner huruma. Big no, he deserved it aache kulia.
Aki you are out of your mind aisee!
Kasome upya historia ya vita vya Ukraine...
Ukraine wanapigania hali yao ya kuishi duniani...
Wameandamwa sana toka enzi na enzi Ili waangamizwe...
Anachofanya Putin ni muendelezo wa ukandamizaji uliowahi kufanyika dhidi ya Ukrainians. Waangamizwe! Maeneo yao yachukuliwe!
Yaani kama unaona kumaliza vita ni kumdharaulisha Rais wa Ukraine Ili atie saini ya kuuza rasilimali adimu za nje yake kwa vibaka na vibaraka wa Putin unaikosea sana Ukraine!
Rais wa nchi hadhalilishwi kwa kiasi kile ambacho Trump & Vance walitaka kumdhalilisha Zalenskyy!
Kama Marais wenu huko Africa washazoea kuitikia YES kwa kila na kulamba viatu vya wakubwa kamwe hutokuta kitu kama hicho kwa Ukrainians!
Kumbe ndo maana bandari, ardhi, wanyapori n.k kila kitu kinaenda. Marais wenu Wakiambiwa watu wenu ni maskini, wanyonge na walalahoi kabidhini mlivyonavyo tuwasaidie wanatoa yote!
Zalenskyy ni kidume asee! Kaenda UK kapokelewa kwa staha!
NB: Trump kama Putin wote wanapenda vya kunyonga! Na wenye akili timamu duniani wanajua.
Kifupi:
Trump wenu ni puppet wa
Putin ambaye anatumika kama silaha ya kuivuruga US kama vile US ilivyowahi kumtumia
Mikhail Sergeyevich Gorbachev kuivuruga RUSSIA!
US isiposhtuka, ndani ya utawala wa Trump itakuwa nyuma ya China, Russia na Kiduku!