Viongozi wa upinzani na wanaharakati ndiyo WASALTI wakubwa

HAKI KWA WOTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2022
Posts
2,783
Reaction score
2,396
Viongozi wa upinzani na wanaharakati ndiyo WASALTI wakubwa serikali itamalizana na kila mtu kwa uwazi siyo kupitia wawakilishi wa upinzani na wanaharakati ambao wanapokea bahasha na kupotea.

Serikali ifanye mikutano na kufungua ofisi za ufuatiliaji kero za wananchi kwa uwazi siyo kwa uwakilishi wa watu wachache
 
Fine lakini kwa bile Baba na Mama yako ni wapinzani, wacha tuwe wasaliti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…