MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Kwa sababu yoyote inayowakimbiza, tafsiri yake ni:
√ Usaliti kwa wanachama na wafuasi ambao walihamasishwa kulinda kura au kuingia barabarani kudai ushindi;
√ Kutokkukomaa kisiasa; na
√ Uchu wa madaraka.
Kwa kitendo hicho cha kutoroka ni dhahiri upinzani una wanasiasa uchwara
Anaokoa uhai kwa kuogopa nini, na wanataka kumuua kwa kosa gani, hatujawahi kusikia ana ugonvi na serikari au anajua wapi alikosea huko mitaani?Yaani asiokoe uhai wake kisa deni? Acheni kutoa roho za wenzenu.
Lisu mlitaka kumuua kwa kosa gani?, na wanataka kumuua kwa kosa gani,
Mnyika alioteshwa eehHahaha! Hapo ndiyo unagundua kuna watu wanajua kusoma nyakati. Nasari alijua yatakayotokea akajisalimisha mapeeemaa.
Waulize chademaLisu mlitaka kumuua kwa kosa gani?
Kumbe huna hoja. Nilidhani naongea na GTWaulize chadema