Unawadai wewe?Habari wakuu.
Baada ya kupokea meseji zenu zisizo na idadi na pia simu nyingi za kunisihi niseme neno kuhusu hii hali iliyojitokeza ya viongozi wa upinzani kuondoka nchini kwa madai ya kuepuka hatari zinazowakabili dhidi ya maisha yao.
Ninachoweza kwa ufupi ni kwamba nimesikitishwa na hizo taarifa na wanaoweza kutoa majibu na kuchukua hatua ni vyombo vya usalama. Ninaamini wanausalama wako kazini.
Lakini baada ya kutafakari kwa kutumia akili nyingi sana ambazo wafuasi wengi wa upinzani hawana nikagundua kitu. MADENI. Ndiyo ni MADENI.
Naona hili ni jambo ambalo halitajwi sana lakini linachochea baadhi ya viongozi wa upinzani hasa waliokosa ubunge kuona namna nzuri ya kukimbia madeni ni kufanya wanachofanya sasa.
Mh Ndugai alishadokeza uma kuhusu hili jambo na kumtaja Mh Lema kama mmojawapo wa wanaodaiwa madeni makubwa. Ninawasihi viongozi wengine wa upinzani wanaotarajia kuikimbia nchi wajitahidi kulipa madeni kwanza au wawaelekeze wanaowadai namna ya kupata pesa zao wakati watakapoondoka.
Nawasilisha
Habari wakuu.

Haina shida watakamatwa wadhamini waoHabari wakuu.

Madeni yana bima..bank zitalipwa ila roho ya mtu hainaHabari wakuu.

Mimi ni mfuasi wa upinzani,nawaunga mkono waondoke kama maisa yao yako hatarini!Wala sijahisi kusalitiwa,nashangaa wewe ndiye unataka mimi mfuasi nione hivyo!Kwa sababu yoyote inayowakimbiza, tafsiri yake ni:
√ Usaliti kwa wanachama na wafuasi ambao walihamasishwa kulinda kura au kuingia barabarani kudai ushindi;
√ Kutokukomaa kisiasa; na
√ Uchu wa madaraka.
Kwa kitendo hicho cha kutoroka ni dhahiri upinzani una wanasiasa uchwara
Yawezekana hujui maana ya udikteta kwa kwa kuwa huishi kwenye nchi ya kidikteta. Nikusamehe pia kwa maana "hujui kuwa hujui".Kwenye nchi za madictator ni kawaida wapinzani wa kweli kukimbia, au kubaki katika nchi ni kuishiwa kubambikiwa kesi. Mfano wa viongozi waliokimbia nchi zao kutokana na udictator ni Laurent Kabila Baba, Yoweri Museveni, Na rais wa sasa wa Congo.
Yawezekana hujui maana ya udikteta kwa kwa kuwa huishi kwenye nchi ya kidikteta. Nikusamehe pia kwa maana "hujui kuwa hujui".
Vipi wewe unakimbia lini au ni vuvuzela tu!Kwenye nchi za madictator ni kawaida wapinzani wa kweli kukimbia, au kubaki katika nchi ni kuishiwa kubambikiwa kesi. Mfano wa viongozi waliokimbia nchi zao kutokana na udictator ni Laurent Kabila Baba, Yoweri Museveni, Na rais wa sasa wa Congo.
Mimi ni vuvuzela tu, hivyo sina madhara kwa dictator yoyote dunia hii.Vipi wewe unakimbia lini au ni vuvuzela tu!
Mtu anapochukua mkopo huwa hawaweki dhamana? Je kama wanaweka dhamana wanapoondoka wanazichukua wanaondoka nazo?Habari wakuu.
Baada ya kupokea meseji zenu zisizo na idadi na pia simu nyingi za kunisihi niseme neno kuhusu hii hali iliyojitokeza ya viongozi wa upinzani kuondoka nchini kwa madai ya kuepuka hatari zinazowakabili dhidi ya maisha yao.
Ninachoweza kwa ufupi ni kwamba nimesikitishwa na hizo taarifa na wanaoweza kutoa majibu na kuchukua hatua ni vyombo vya usalama. Ninaamini wanausalama wako kazini.
Lakini baada ya kutafakari kwa kutumia akili nyingi sana ambazo wafuasi wengi wa upinzani hawana nikagundua kitu. MADENI. Ndiyo ni MADENI.
Naona hili ni jambo ambalo halitajwi sana lakini linachochea baadhi ya viongozi wa upinzani hasa waliokosa ubunge kuona namna nzuri ya kukimbia madeni ni kufanya wanachofanya sasa.
Mh Ndugai alishadokeza uma kuhusu hili jambo na kumtaja Mh Lema kama mmojawapo wa wanaodaiwa madeni makubwa. Ninawasihi viongozi wengine wa upinzani wanaotarajia kuikimbia nchi wajitahidi kulipa madeni kwanza au wawaelekeze wanaowadai namna ya kupata pesa zao wakati watakapoondoka.
Nawasilisha
So, your bullets are missing him again! Don't be angry.Kwa sababu yoyote inayowakimbiza, tafsiri yake ni:
√ Usaliti kwa wanachama na wafuasi ambao walihamasishwa kulinda kura au kuingia barabarani kudai ushindi;
√ Kutokukomaa kisiasa; na
√ Uchu wa madaraka.
Kwa kitendo hicho cha kutoroka ni dhahiri upinzani una wanasiasa uchwara
Wewe ni mojawapo ya walionitumia meseji kuniomba nitamke kitu kuhusu hili suala halafu nashangaa unanishambulia.sawa wewe kapuku una nini hadi umkopeshe mtu?
Una akili ulizipata wapi? chunguza ktk ukoo wenu hakuna mwenye akili ndio maana wote ni makapuku na mnapenda kuishi kwa umbea!
Madeni yao yatalipwa na waliosababisha waondoke.Habari wakuu.