Viongozi wa upinzani wanaoondoka nchini wahakikishe wameweka sawa madeni wanayodaiwa

Unawadai wewe?
 


Wewe ni bank? Bank gani ya kijinga itoe mkopo bila kujua watarudishiwa vipi!
 
Haina shida watakamatwa wadhamini wao
 
Madeni yana bima..bank zitalipwa ila roho ya mtu haina
 
Mimi ni mfuasi wa upinzani,nawaunga mkono waondoke kama maisa yao yako hatarini!Wala sijahisi kusalitiwa,nashangaa wewe ndiye unataka mimi mfuasi nione hivyo!
 
Huyu Lema alijiita Mandela wa Tanzania na manyumbu wakamsifia kulikoni Mandela kakimbia nchi? Itakuwa kweli kakimbia madeni na sio siasa
 
Kwenye nchi za madictator ni kawaida wapinzani wa kweli kukimbia, au kubaki katika nchi ni kuishiwa kubambikiwa kesi. Mfano wa viongozi waliokimbia nchi zao kutokana na udictator ni Laurent Kabila Baba, Yoweri Museveni, Na rais wa sasa wa Congo.
Yawezekana hujui maana ya udikteta kwa kwa kuwa huishi kwenye nchi ya kidikteta. Nikusamehe pia kwa maana "hujui kuwa hujui".
 
Wao waende Tu Nyumba zao,Viwanja vyao vitauzwa kufidia madeni yote
 
Hiyo ndio hasara ya kumpa mshamba na mjinga nchi. Hana busara wala akili ya kuongoza. Udhalimu tuu
 
Yawezekana hujui maana ya udikteta kwa kwa kuwa huishi kwenye nchi ya kidikteta. Nikusamehe pia kwa maana "hujui kuwa hujui".

Unadhani madictator wote wanafanana kwa viwango? Habari ndio hiyo boss.
 
Kwenye nchi za madictator ni kawaida wapinzani wa kweli kukimbia, au kubaki katika nchi ni kuishiwa kubambikiwa kesi. Mfano wa viongozi waliokimbia nchi zao kutokana na udictator ni Laurent Kabila Baba, Yoweri Museveni, Na rais wa sasa wa Congo.
Vipi wewe unakimbia lini au ni vuvuzela tu!
 
Mtu anapochukua mkopo huwa hawaweki dhamana? Je kama wanaweka dhamana wanapoondoka wanazichukua wanaondoka nazo?
 
sawa wewe kapuku una nini hadi umkopeshe mtu?
Una akili ulizipata wapi? chunguza ktk ukoo wenu hakuna mwenye akili ndio maana wote ni makapuku na mnapenda kuishi kwa umbea!
 
So, your bullets are missing him again! Don't be angry.
 
sawa wewe kapuku una nini hadi umkopeshe mtu?
Una akili ulizipata wapi? chunguza ktk ukoo wenu hakuna mwenye akili ndio maana wote ni makapuku na mnapenda kuishi kwa umbea!
Wewe ni mojawapo ya walionitumia meseji kuniomba nitamke kitu kuhusu hili suala halafu nashangaa unanishambulia.
 
kama ni benki huwa wanaenda kunkofisketi mali zote za mdaiwa piga bei.ispokidhi deni linaendelea
 
Madeni yao yatalipwa na waliosababisha waondoke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…