Viongozi wa Upinzani washiriki Maandamano Nairobi

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Wanaharakati na Vongozi wa upinzani nchini Kenya washiriki kumbukumbu ya Maandamano ya Gen Z Jijini Nairobi. Miongoni mwao ni kiongozi wa chama cha PLP Martha Karua, Jaji Mkuu Mstaafu David Maraga, kiongozi wa DAP-K Eugene Wamalwa, kiongozi wa Wiper Kalonzo Musyoka, pamoja na wanaharakati Boniface Mwangi na Hussein Khalid.

1782381682313.png

1782381701403.png

Wanaharakati na Vongozi wa upinzani nchini Kenya washiriki kumbukumbu ya Maandamano ya Gen Z Jijini Nairobi. Miongoni mwao ni kiongozi wa chama cha PLP Martha Karua, Jaji Mkuu Mstaafu David Maraga, kiongozi wa DAP-K Eugene Wamalwa, kiongozi wa Wiper Kalonzo Musyoka, pamoja na wanaharakati Boniface Mwangi na Hussein Khalid.

siasa za matha karua, e.wamalwa, kalonzo, maraga na hata orengo ni nyepesi mno na hazina athari zozote zile katika siasa ngumu za Kenya kuelekea uchaguzi mkuu mwaka ujao.

nusura ya siasa zao ni kuungana na serikali ya William Samoe Ruto, kinyume na hapo watazeeka na kupotelea huko huko upinzani 🐒
 
and its what you think could happens on Tanganyika's politics for a prominent opponents of Bi Msumi with her fake regime .don't you?
 
Back
Top Bottom