siasa za matha karua, e.wamalwa, kalonzo, maraga na hata orengo ni nyepesi mno na hazina athari zozote zile katika siasa ngumu za Kenya kuelekea uchaguzi mkuu mwaka ujao.
nusura ya siasa zao ni kuungana na serikali ya William Samoe Ruto, kinyume na hapo watazeeka na kupotelea huko huko upinzani 🐒