Mcheza Piano
JF-Expert Member
- Mar 2, 2024
- 562
- 1,339
Aliyewahi kuwa Makamu wa Rais wa Bunge la Afrika (PAP) na Mbunge wa Shinyanga Mjini, Stephen Masele amesema Yanga inaweza kukata rufaa CAF kupitia kifungu cha sheria za mpira za CAF namba XVI kifungu namba 3 kupinga kitendo cha kukataliwa goli alilofunga Aziz Ki.
Masele ameshauri Viongozi wa Yanga watumie kanuni hiyo kwani kifungu hicho ni mahususi kuhusu utawala na upanganji wa matokeo ambapo iwapo ikithibitika ni kweli basi Mamelodi itanyang’anywa matokeo na kupewa Yanga.