Viongozi wa Yanga Fanyeni hivi Haraka iwezekanavyo Lazima Yanga icheze Nusu Fainali

Sawa mtakataaa Rufaaa lakini kumbuka maamuzi ya hiyo rufaa yenu itamuhusu refa tu, na haitabadilisha kitu! Unafikiria CAF wataipitisha yanga? Maamuzi yalishafanyika hatakama yalikuwa na dosari lakini ndiyo yashapitaaaaaaaa😎😳
Hii ni kashfa ya upangaji matokeo, Yanga itacheza nusu fainali.
 
Njia pekee labda ni kushawishi vilabu vilivyomo kwenye mashindano KUGOMEA mashindano ili Kushinikiza Haki kutendeka katika mechi ya Jana.
Ushawishi huo sijui kama tunao, ila nafikiri ingesaidia.
Mazembe
Waarwbu wote
Asec
Petrol

Wagomee next match zao. Ikiwezekana washinikize kujiuzulu kwa Motsepe
 
Nani afanye ujinga kama huo kisa Yanga?
Timu zina malengo yao na watatimiza hata Motsepe akiwepo na ndio maana hao Mamelod wametolewa sana tu na Motsepe akiwa rais wa Caf
 
  • Thanks
Reactions: len
Nani afanye ujinga kama huo kisa Yanga?
Timu zina malengo yao na watatimiza hata Motsepe akiwepo na ndio maana hao Mamelod wametolewa sana tu na Motsepe akiwa rais wa Caf
Yeah, shida ni Yanga kutokuwa na ushawishi wa namna hiyo. Engineer ni Raid wa vilabu Afrika, vipi, ni cheo hewa?
 
Hizi sarakasi ndio akili halisi ya Yanga, ni justification ya kuitwa Utopolo sio bahati mbaya
Akili unayoibeza ndo inabeba NBC premier league title mara ya Tatu mfulululizo na ndo hiyo imemshinda Mamelodi hadi kuokolewa na VAR room na refa wao!

Ngoja tuwapige tena khamsa kupunguza maumivu. Mkude mliemtupa kawasimamisha Mamelodi two matches ndo ujue Yanga akili kubwa!!

Uto hatuna mpinzani Africa jana dunia nzima imeona na kocha wa Mamelodi kakiri, jifariji tu mtani
 
Wanaopita sasa ni vichekesho
 
Hauna mpinzani kivipi?
 
M
Hauna mpinzani kivipi?
Mamelodi ndo inadaiwa ni best football club in Africa kwasasa na wameshindwa kutufunga uto kwa dkk 120 home and away na tumepokwa ushindi kwa goli letu halali kukataliwa!

Shime wanayanga tusikubali tulianzishe kwa hashtags million twitter and instagram ziseme hivi "Motsepe must go for shaming African football and South Africa" hiyo hashtag ikisaidiwa na Yanga kutuma barua CAF kwa madai ya match fixing kwa VAR crew kutoonesha camera zote na kumdanganya referee na referee kutoangalia VAR kwenye tukio muhimu la goli hayo yatapindua matokeo maana wasouth hawatakubali Motsepe awachafue!!
 
🤣 sawa mkuu
 
Akili unayoibeza ndo inabeba NBC premier league title mara ya Tatu mfulululizo na ndo hiyo imemshinda Mamelodi hadi kuokolewa na VAR room na refa wao!

Ngoja tuwapige tena khamsa kupunguza maumivu. Mkude mliemtupa kawasimamisha Mamelodi two matches ndo ujue Yanga akili kubwa!!

Uto hatuna mpinzani Africa jana dunia nzima imeona na kocha wa Mamelodi kakiri, jifariji tu mtani
Kwahiyo kocha wa Mamelod kakiri kuwa mmekufa kiume au anapeleka maombi Caf mchukue nafasi yao wao wanajitoa?
 
Aliyewahi kuwa Makamu wa Rais wa Bunge la Afrika (PAP) na Mbunge wa Shinyanga Mjini, Stephen Masele amesema Yanga inaweza kukata rufaa CAF kupitia kifungu cha sheria za mpira za CAF namba XVI kifungu namba 3 kupinga kitendo cha kukataliwa goli alilofunga Aziz Ki.

Masele ameshauri Viongozi wa Yanga watumie kanuni hiyo kwani kifungu hicho ni mahususi kuhusu utawala na upanganji wa matokeo ambapo iwapo ikithibitika ni kweli basi Mamelodi itanyang’anywa matokeo na kupewa Yanga.

View attachment 2955377
Hawa wanasiasa wanajua machungu mnayopitia sasa hivi, hivyo ni wakati wao kujaribu kuteka hisia zenu, mwisho wa siku target yake ni mjengoni. Be wise guys, sijui kwanini hatuelewi siasa za nchi yetu, au wengine nyie bado wachanga sana kwenye mambo ya mpira na siasa za Tanzania.
 
Ona kolo hili
 
Back
Top Bottom