Mcheza Piano
JF-Expert Member
- Mar 2, 2024
- 562
- 1,339
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mtakuja kuokota makopo kwa ukichaa
Kaone haka katoto😕😕😕 hivi vi pisi kali muda mwingine vinatia hasira ndomaana tunavipelekea moto hadi checheMashabiki wa uto wakamatwee, wanaleta vurugu uraiani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kubalini tu yaishe.Aliyewahi kuwa Makamu wa Rais wa Bunge la Afrika (PAP) na Mbunge wa Shinyanga Mjini, Stephen Masele amesema Yanga inaweza kukata rufaa CAF kupitia kifungu cha sheria za mpira za CAF namba XVI kifungu namba 3 kupinga kitendo cha kukataliwa goli alilofunga Aziz Ki.
Masele ameshauri Viongozi wa Yanga watumie kanuni hiyo kwani kifungu hicho ni mahususi kuhusu utawala na upanganji wa matokeo ambapo iwapo ikithibitika ni kweli basi Mamelodi itanyang’anywa matokeo na kupewa Yanga.
View attachment 2955377
Aliyewahi kuwa Makamu wa Rais wa Bunge la Afrika (PAP) na Mbunge wa Shinyanga Mjini, Stephen Masele amesema Yanga inaweza kukata rufaa CAF kupitia kifungu cha sheria za mpira za CAF namba XVI kifungu namba 3 kupinga kitendo cha kukataliwa goli alilofunga Aziz Ki.
Masele ameshauri Viongozi wa Yanga watumie kanuni hiyo kwani kifungu hicho ni mahususi kuhusu utawala na upanganji wa matokeo ambapo iwapo ikithibitika ni kweli basi Mamelodi itanyang’anywa matokeo na kupewa Yanga.
View attachment 2955377
NdiyoMngeshinda matuta mngewaza kukata rufaa kudai goli lililokataliwa?
hata England ilishawakuta iyo goli la Lampard la wazi lilikataliwa World cup South Africa.Hivi mliona goli alilofungwa Ujerumani na Japan kwenye kombe la Dunia na kupelekea Ujerumani kutolewa kwenye makundi?
Sasa kama timu kubwa kama Ujerumani ilitolewa kimagumashi vile tena kombe la Dunia, sembuse Yanga?
Kwahiyo unashauri tukawashushe busha ili iwe fundisho?hata England ilishawakuta iyo goli la Lampard la wazi lilikataliwa World cup South Africa.
hii situation ikitokea ndio imeisha hiyoo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu weuweeeeKaone haka katoto😕😕😕 hivi vi pisi kali muda mwingine vinatia hasira ndomaana tunavipelekea moto hadi cheche
unamshushaje busha rafiki yako,wanayanga mlikua mkijinasibu Mamelody ni rafiki yenu.Kwahiyo unashauri tukawashushe busha ili iwe fundisho?
Sawa mtakataaa Rufaaa lakini kumbuka maamuzi ya hiyo rufaa yenu itamuhusu refa tu, na haitabadilisha kitu! Unafikiria CAF wataipitisha yanga? Maamuzi yalishafanyika hatakama yalikuwa na dosari lakini ndiyo yashapitaaaaaaaa😎😳Aliyewahi kuwa Makamu wa Rais wa Bunge la Afrika (PAP) na Mbunge wa Shinyanga Mjini, Stephen Masele amesema Yanga inaweza kukata rufaa CAF kupitia kifungu cha sheria za mpira za CAF namba XVI kifungu namba 3 kupinga kitendo cha kukataliwa goli alilofunga Aziz Ki.
Masele ameshauri Viongozi wa Yanga watumie kanuni hiyo kwani kifungu hicho ni mahususi kuhusu utawala na upanganji wa matokeo ambapo iwapo ikithibitika ni kweli basi Mamelodi itanyang’anywa matokeo na kupewa Yanga.
View attachment 2955377