Nimesikitishwa na hili jambo kwa kweli viongozi wa Yanga mnaonyesha madhaifu makubwa hili deni linaelekea kutupa adhabu kutoka FIFA.
Adhabu ambayo itatuondoa kwenye dira yetu na kutufanya kupoteza muelekeo.
Fanyeni hima mumlipe pesa zake aliekua kucha wetu Luc Eymael.
Au ndio mmeshapoteza dira tayari na mnataka mpate pa kujificha?
Out.