- Thread starter
- #21
Mustabari ndio nin wewe?Tulia andika vizuri unakua kama unakunwa na dole la kupimia dalili za tezi dume.Una wasiwasi wa nini wewe! Yaani uache kuwa na wasiwasi juu ya mustabari wa maisha yako ya sasa na yale ya baadaye; badala yake uwe na wasiwasi na Yanga yenye uongozi wake!!