Umejuaje kama Kuna Hilo deni mkuu?,na umethibitisha ?Nimesikitishwa na hili jambo kwa kweli viongozi wa Yanga mnaonyesha madhaifu makubwa hili deni linaelekea kutupa adhabu kutoka FIFA...
Aliwaita manyani na mambwa wanabweka bweka hovyo na bado wanatakiwa walimpeHuyu kocha si ndyo aliwaita jina gani vile[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Wewe ndio Andrew Mtine CEO wa yanga? Au wewe ndiye unajua sanaa kuliko waliopo jikoni?Nimesikitishwa na hili jambo kwa kweli viongozi wa Yanga mnaonyesha madhaifu makubwa hili deni linaelekea kutupa adhabu kutoka FIFA...
Soma uelewe acha kukurupuka tu wewe..Wewe ndio Andrew Mtine CEO wa yanga? Au wewe ndiye unajua sanaa kuliko waliopo jikoni?
Acha uzwazwa wewe kuku tulia unafahamu nin sasa wewe epuka kuchangia vitu visivyo kuhusu..Wewe na hao viongozi wenu nani ana uchungu na timu? Kama wao wameona kufungiwa ni bora kuliko kulipa deni si utulie
Kama unauchungu zaaAcha uzwazwa wewe kuku tulia unafahamu nin sasa wewe epuka kuchangia vitu visivyo kuhusu..
Kwa akili yako ndogo Kuna mtu mwenye uchungu na timu zaidi ya shabiki wa timu?
Ni mara ngapi shabiki anatoa machozi kwa matokeo mabaya au mienendo mibaya ya timu yake acha ujuaji wa kishamba wewe.
Mtoto mdogo wewe wa kike acha kushupaza shingo utachanwa uzazi.Kama unauchungu zaa
Sasa kama una uchungu si uzaeMtoto mdogo wewe wa kike acha kushupaza shingo utachanwa uzazi.
Mtoto mshamba wewe..Sasa kama una uchungu si uzae
Una wasiwasi wa nini wewe! Yaani uache kuwa na wasiwasi juu ya mustakabari wa maisha yako ya sasa na yale ya baadaye; badala yake uwe na wasiwasi na Yanga yenye uongozi wake!!Soma uelewe acha kukurupuka tu wewe..
Jikoni ndio nini?Hili ni bandiko la wasiwasi wangu kwa timu yangu kuingia kwenye migogoro na FIFA wewe unaanza kuleta hoja mfu acha ujuha wewe.