Viongozi wa Yanga mnapaswa kuchukua hatua hizi dhidi ya Manara

Viongozi wa Yanga mnapaswa kuchukua hatua hizi dhidi ya Manara

Covid-19

Senior Member
Joined
Mar 2, 2020
Posts
162
Reaction score
364
Kumekuwa na udhalilishaji mkubwa juu ya brand ya Yanga kwa kisingizio cha utani wa jadi kinachofanywa na Kiongozi wa Simba anayejiita Hajji Manara.

Nimefuatilia kwa karibu ndani ya msimu huu mtu huyo amefanikiwa kuharibu biashara nyingi za Yanga.

Pengine angekua tu mshabiki tungejua namna ya kudili nae sisi mashabiki lakini sababu ni kiongozi ndani ya Simba basi Yanga inapaswa kudili nae kwa sheria na kanuni za mpira.

Mtu huyu amefanikiwa pakubwa kuharibu biashara ya Madela ya Yanga, Kalenda za Yanga na jezi za Yanga hivi karibuni. Si ajabu akaitwa kwenye kipindi cha redio na kutumia masaa yote matatu kukandia bidhaa za Yanga na kuisemea Yanga kuliko klabu yake inayomlipa mshahara. Hii haikubaliki na sio swala la kuleta utani wa jadi kwenye biashara.

Kama haitoshi amekua akifanya personal attack kwa Mwenyekiti msaidizi wa Yanga ndugu Mwakalabela juu ya maumbile yake kwa maneno na picha za kudhihaki.

Mwanzoni nilidhani ni watani personal lakini kwenye press ya leo ya Mwakalebela kaonyeshesha hawana utani wowote wa kibinafsi. Kutokana na viongozi wa Yanga kusema wamechukua hatua zote kumshtaki TFF lakini shirikisho limekua kimya kuchukua hatua nashauri yafutayo yafanyike :

Kumtangaza Manara kama adui namba moja wa Yanga alieshindikana hata na TFF. Hii iende sambamba na kuachana na kampuni zote zilizompa ubalozi mtu huyo kwani ndizo zinazompa kibuli cha kuharibu brand za kampuni nyingine.

Kutafuta watu wa kudili nae nje ya sheria za TFF hasa mitandaoni mana ni wazi wameshindwa kumrekebisha mtu huyo kufuata sheria ambaye wakati mwingine anaonekana ni Chanzo kikubwa cha uhasimu baina ya mashabiki.

Kuishtaki TFF kwa baraza la michezo BMT juu ya uonevu mkubwa wa kushindwa kuchukua hatua juu ya kesi zinazowasilishwa na Yanga.
 
Hakuna cha kesi, Yanga waulizeni viongozi wenu kwanza kesi ya Morison imefikia wapi?

Yanga mashabiki wanazugwa tu na uongozi wao.

Blahblah nyiingi,wanaficha madhaifu yao kupitia njia za ujanja ujanja.

Kutoka marefa kuwaonea mpaka Haji Manara kuaribu biashara ya jezi.

Manara kapost ayo madera zaidi ya mwezi lakini viongozi wanakuja kumlalamikia leo hii baada ya kukosa ushindi mechi 2 mfululizo?
 
Hakuna cha kesi,Yanga waulizeni viongozi wenu kwanza kesi ya Morison imefikia wapi?
Yanga mashabiki wanazugwa tu na uongozi wao.
Blahblah nyiingi,wanaficha madhaifu yao kupitia njia za ujanja ujanja.

Kutoka marefa kuwaonea mpaka Haji Manara kuaribu biashara ya jezi.
Manara kapost zaidi ya mwezi lakini viongozi wanakuja kumlalamikia leo hii baada ya kukosa ushindi mechi 2 mfululizo?
 
Kama Manara anaweza kuharibu brand ya Yanga kiasi cha wanachama na mashabiki wa Yanga kuichukia kabisa brand yao basi Manara anatakiwa abaki Simba miaka yote na makampun makubwa yanamuhitaji mtu kama huyu, yaan mim nisipende kitu changu kwasababu fulan anakiponda? Nani ana shida hapo, anayekiponda au wew mwenye kitu chako?

Tulien kidi, timu lenu libovu mliweka matumain makubwa sana kwa wachezaji wa Kawaida saaaanaaaa, rudini kweny raman mjipange upya otherwise mtaendelea kualalamika na haitasaidia chochote.
 
Kama Manara anaweza kuharibu brand ya Yanga kiasi cha wanachama na mashabiki wa Yanga kuichukia kabisa brand yao basi Manara anatakiwa abaki Simba miaka yote na makampun makubwa yanamuhitaji mtu kama huyu, yaan mim nisipende kitu changu kwasababu fulan anakiponda? Nani ana shida hapo, anayekiponda au wew mwenye kitu chako? Tulien kidi, timu lenu libovu mliweka matumain makubwa sana kwa wachezaji wa Kawaida saaaanaaaa, rudini kweny raman mjipange upya otherwise mtaendelea kualalamika na haitasaidia chochote.
Nani amekwambia Jezi hununuliwa na mashabiki tu? Mimi nina Jersey ya Arsenal, Leeds na Spurs ila nashabikia Arsenal.
 
Kumekua na udhalilishaji mkubwa juu ya brand ya Yanga kwa kisingizio cha utani wa jadi kinachofanywa na Kiongozi wa Simba anayejiita Hajji Manara...
Nimesoma hii thread, na haya ni yangu
1. Huwezi kumtangaza manara kama adui namba moja wa Yanga, yanga ni kubwa kiumri na hata kihistoria ukimlinganisha na manara. Iweje mtoto awe na uadui na wazazi wake?

2. Kuhusu kuchafua brand,..mara nyingi anayechokozwa ndiye anayeanza kurusha ngumi, Hili limejificha zaidi kwenye utani ingawa yanga pia humchora manara kama mwanamke mrembo akitokea gheto la kina Yanga, huu ni udhalilishaji kimaadili. Hili litabaki kuwa mwenye nguvu ya ushawishi husikilizwa zaidi,..Manara ameshinda katika hili

Inapaswa kuwa vita kati ya simba na yanga, sio vita ya manara na yanga
 
Kwanza Wana Yanga niwambie tu ukweli kwenye swala la kumkomalia manara eti ameharibu brand yenu Ni kupoteza muda wenu bure maana kwa hili mtatoka patupu hata Mia mbovu hampati.

Kitu kingine nimegundua viongoz wa wanga washawasoma mashabik wao kuwa Ni watu wa aina gani ,ndio maana kila leo mnaletewa matukio mapya ili kuhamisha mijadala fulan fulan.Embu angalia ishu ya Morrison mmeambulia KO kimya hakuna tena wa kusema na mwamba anacheza ligi na kutupia kwa Sana ,swala la kikosi cha Yanga kukosa wafungaj wanaojielewa had kupelekea timu kupata ushind wa mbinde Sana ,beki kuvuja na mengine kibao ,viongoz wameamua kuhamishia goli kwa manara et kachafua brand na mashabik wamejaa jumla .

Kwenye ishu ya manara niwambie tu hapa Wana Yanga mtaambulia tu aibu ya mwaka ,maana kama Ni kutaniana kwa kuchorana hovyo haijaanza leo ,kama Ni ivo tutalipana hapa had mmoja anyoshe mikono juu coz makabur Ni mengi tu uzur tupo kipindi cha utandawaz kila kitu Ni rahis tu kukipata.

Suruhisho la hizi stress za Wana Yanga Ni kuijenga timu kisaikoloj ,pia Wana Yanga muache kuingia na matokeo uwanjan maananacheza na wanaume wenye pumbu mbili km zilivyo pumbu zenu.swala la kuonewa kila timu inaonewa na kubebwa kwa wakat fulani ,zikiletwa video za Yanga alizowah bebwa na hao hao marefa zikaringanishwa na zile za kuonewa Ni waz za kubebwa Ni nyingi Sana ,kwa hili hata kwa upande wa Simba Ni ivyo ivyo.

Yanga inazidiwa kipi na Simba? Ni kwamba kwa kipind hiki Simba ishakomaa kisoka tofaut na Yanga Bado Wana uprimitive fulani ,Simba akipoteza au kudraw wanalaumiwa wachezaj pamoja na benchi la ufundi wakat Yanga wao wanakomaa na marefa na tff tu.

Niwakumbushe tu mpaka hapo ubingwa mmeukosa kwa Mara ya nne mfululizo na Simba anachukua kombe kiurain maana tayal mshatoka mchezoni ,tena mmewachokoza marefa msitegemee et wataogopa biti zenu sahau kwa Hilo ,na safar hii mtabanwa mbavu balaa na hao marefa mliowakandia na kuwatisha.
 
Utopolo ni laana hivi mmesahau kauli ya mwakalebela kuhusu kumsajili chama au mmejisahau kuhusu jezi za yanga zilizokuwa zimeandikwa chams wakati sio mchezaji wao nyani ni nyani
 
Kwani yanga ina brand au brandina?

Nyinyi mmethubutu hadi kumchania jezi shabiki wa simba and we stayed cool like nothing happened leo hii eti manara ana dhalilisha brand

Brand mnaidhalilisha wenyewe kwa usajili mbovu mlioufanya, brand mnaidhalilisha wenyewe kwa kutaka mteremko kudai penalty hadi kufikia wachezaji wanalia

Brand mnaizalilisha kwa kukerwa na morrison maana bila morrison kufunga jana haya yote tusingeyasikia
 
Kwahiyo Unamaanisha Manara amewafanya wanayanga kuichukia yanga hadi wakasusa na bidhaa za klabu yao kisa Manara. Km ndivyo basi Manara amefanikiwa sana. Mm wa simba siwezi nunua bidhaa zenye manembo ya yanga hata siku moja.
 
Nimesoma hii thread, na haya ni yangu
1. Huwezi kumtangaza manara kama adui namba moja wa Yanga, yanga ni kubwa kiumri na hata kihistoria ukimlinganisha na manara. Iweje mtoto awe na uadui na wazazi wake?
2. Kuhusu kuchafua brand,..mara nyingi anayechokozwa ndiye anayeanza kurusha ngumi, Hili limejificha zaidi kwenye utani ingawa yanga pia humchora manara kama mwanamke mrembo akitokea gheto la kina Yanga, huu ni udhalilishaji kimaadili. Hili litabaki kuwa mwenye nguvu ya ushawishi husikilizwa zaidi,..Manara ameshinda katika hili

Inapaswa kuwa vita kati ya simba na yanga, sio vita ya manara na yanga
Makaburi yakifukuliwa mbona kesi itawageukia wao

Kipindi yanga na simba zinajiandaa na mchezo yanga Waliharibu brand ya simba kwa kubadilisha rangi ya nembo ya simba kwenye official page yao ya yanga

Kama haitoshi pia official account ya yanga ili haribu brand ya simba kwa kum edit chama akiwa amevaa jezi ya yanga na kuwarubuni mashabiki wao kwamba wamemsajili

Kwenye ishu ya marefa kuipendelea yanga kuna clip mbili kutoka kwenye mechi moja zikionesha wachezaji wa yanga wakishika mpira ndani ya penalty box na refa akakataa. Na wachambuzi wakai review ile clip na hakuna aliyebisha

Sambamba na ile goal corner ambayo walifanyiwa figisu lipuli

Pia manara alishawahi kutukanwa vibaya kulingana na albinism yake, amefanyiwa fuho za kuudhi mfano juzi hapo wali edit amevaa shela la bibi harusi na morrison amevaa suti kama bwana harusi
 
WaKimwambia ni mlemavu wa akili pia TAKO LINAMUWASHA.
 
Kumekua na udhalilishaji mkubwa juu ya brand ya Yanga kwa kisingizio cha utani wa jadi kinachofanywa na Kiongozi wa Simba anayejiita Hajji Manara..
Wacheni umalaya wa kulia lia,kama mpira wa miguu umewashinda jaribuni hata dhumna,tumechoka utoto wenu na huyu tumbo tumbo wenu anayenyea tumboni ndiyo maana hana akili anawacheza shere kila siku.
 
Yaani Yanga hamna kitu kabisa kwani hayo madela wanavaa mashabiki wa simba? Mumeshindwa kuongoza timu yenu sasa mumekuwa timu lia lia hahaàaàaa kitu kizuli hata kipakwe mavi kitanunuliwa tuuu acheni kulia lia.
Jifunze kwanza kuandika kabla ya kukosoa,neno 'kizuri' sio 'kizuli'
 
Back
Top Bottom