gonamwitu
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 2,187
- 2,794
Wewe shabiki makande tena makande ya kilabuni huwezi kuwazuia wahandishi wa habari za michezo kupata za ndani hata siku moja mtu kama ricardo momo au dickson job au anuary binde au shaffii dauda unamzuiaje asipate habari za ndani kutoka yanga.
Na kwa taarifa yako moalini anaenda yanga kuwa msaidizi wa kocha mpya anayekuja.
Gamondi kapewa mechi tatu tu za kimataifa za kumuangalia akizingua wanamtimua akipafomu wanampa muda amalize mkataba wake unaoisha mwakani apite hivi.